Acha kujidanganya. Hyo miaka 30 atakayofungwa itatokana na kosa lipi?
Stori za vijiweni zitawapoteza... Hivi unajua unaweza ukaua na usifungwe kwa kosa la mauaji? Na bado ukabaki mitaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin hotel za kimataifa hawa ruhusu mtu kwenda kwenye room ya mgen bila ruhusa ya mgen mwenye room na mtu kutoka nje ya hotel ambaye siye mgeni wa hotelin baadhi ya hotel hawa ruhusu mgeni kutoka nje ya hotel kuingia ndan ya hotel lazma afanye booking, au aende reception Kama Kuna mtu kamfata reception watampigia sim mwenyeji wake na lazima ataje room namba , haiwezekan mtu tu utoke uko uingie hotel moja kwa moja mpaka kwenye room ya mgen ulete vulugu kwenye hotel za kimataifa huwez kupata nafas,, lakin kwa hotel za uchocholon utapata nafas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most of times wenye pesa za kupeleka mke wa mtu hoteli za maana(mtu anayelipa 500,000 room kwa siku) wana akili ya umafia maana kuwa na hizo fedha tu kapitia mengi, huwa hawachukui wake za ma don hovyo hovyo maana wanajua lolote halishindikani. Nyinyi msioamini katika umafia ndo hujikuta matatizoni.

Mkuu, unajua maana ya mtego? Mtu analipa pesa ya floor nzima ili uwe peke yako na mke wake ila hutajua kama leo floor nzima ni ww tu. Unapewa chumba ambacho hakina attention, unapewa funguo wakiwa wanaelewa wataufungua vipi huo mlango. Kwanzia dada wa reception mpaka mlinzi wa parking wanakuwa wanajua kinachoenda kukukuta leo maana walishalipwa na umeandaliwa mtego kwa miezi hata mitatu au minne ukiangaliwa tu tabia zako na movement zako.

Mtu unawekewa dawa na huyo huyo unayemgonga unalala kama mzoga ukishtuka upo tayari unawaka waka na wanaume wapo pembeni wanakusubiri upate fahamu vizuri ili usikie na uelewe kinachokutokea.

Hakuna fujo hapo. Kila kitu ni taratibu tu. Tena ndo ukute mwenye mke ana connection na wale waliomzuia msanii diamond kuingia jukwaa alipo mh raisi, hapo ndo kazi inakuwa nyepesiiii.

Wewe kama unapenda sana wake za watu tafuta mtu yoyote ambaye ni mpelelezi akupe visa na matukio ya watu walivyo na roho mbaya

Kama .ke wa mtu ni mtamu endelea kuiba wake za wanyonge watakaoishia kulalamika au kukuloga ila usiingie chaka tu ukagusa wale ambao wanajua namna ya kufanya biashara na kupata pesa kwenye nchi ya ujamaa kama korea kaskazini wakiwa wanaishi humu TZ.
 
Acha kujidanganya. Hyo miaka 30 atakayofungwa itatokana na kosa lipi?
Stori za vijiweni zitawapoteza... Hivi unajua unaweza ukaua na usifungwe kwa kosa la mauaji? Na bado ukabaki mitaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukimlawiti mkeo au mtu yeyote kwa makubaliano ni kosa la jinai na ikithibitika kifungo kisichopungua miaka 30 kinakuhusu. Ubakaji wa makundi kifungo cha maisha Ukiona mtu amefanya hivyo na akapeta basi kwa kuwa mtu hakulalamika. Kwa anayeelewa sheria hawezi tbubutu kwani anajua ataozea jela. Ninaifahanu kesi moja watu walichukua miaka.
 
Visa vya wake za watu kuliwa na hata kuzalishwa ni vingi mno kuanzia vijijini hadi mijini, vyuoni, makazini, safarini na kila mahali miaka nenda miaka rudi halafu wewe unatisha watu na matukio machache ya mafumanizi!

Hata wewe hapo pengine kuna watu unawajua au unawahisi strongly waliwahi kula mkeo lakini huna cha kuwafanya.
 
Mm mke wangu hata ww ukitaka kumla mle kama utamuweza na kukubalina na matokeo ya tamaa zako. Sijawahi kuwa na wasiwasi wa kugongewa.

Sitishi mtu, ni kweli wapo wengi tu mpaka wanakufa hawajawahi fumaniwa au kufanywa lolote lakini ww bado upo hai, huna uhakika kama na ww utakufa ukiwa RMC huyu huyu wanayemfahamu wazazi wake kuwa tuna mwanaume kamili.

Nakuambia tu lolote halishindikani ukiwa na tabia hizo za kupenda vya watu hivyo kama ni mpenzi wa wake za watu ishi ukifahamu kuwa upo kwenye risk ya kupatwa na lolote japo inawezekana isikutokee mpaka ukafa.
 
We ni fala kabisa
 
Uko sahihi sana
 
Ha ha ha JF bana. Imekuwaje ukaeudishwa? Kwa nini ulifutwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…