[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀 Inanikumbusha siku moja hivi. Nilikuwa nina urafiki na demu mmoja kwa Facebook, ni Mmama katika her late 30s, ana watoto wawili wakubwa. Muonekano wake katika picha ni mzuri sana! Tulikuwa tukiwasiliana sana lakini hatukuwahi onana hadi hiyo siku. Hii siku tulikubaliana niende ktk mji anaoishi tuonane na tumalize hamu zetu.

Nilivyofika aliniambia anikute sehemu fulani kisha tutafute sehemu tulivu twende. Nilifika sehemu husika na nikamsubiri, kama dakika mbili/tatu alitokea. Nilimuona akiwa kakonda, nywele katengeneza zile timutimu kazipaka rangi na kaachia blauzi ndefuuu inayovuka magoti katia na jeans ya blue. Kwa hakika sikufurahishwa na muonekano wake.

Baada ya kufika lodge akaanza kunipa story za maisha yake kuwa kaachana na mume wake na sasa yuko katika mahusiano mengine. Siku zote alikuwa akinihakikishia yuko na mume wake. Ni muongeaji sana.....Jana yake kabla ya kuja wakati tukichati aliniambia kuwa anafurahia sana kulambwa chumvini! Wakati tunaendelea kuongea (yeye kakaa kitandani mimi katika sofa) niliona midomo yake ikiwa miekundu sana na ina michubuko kwa mbali na ule ute mweupe!

Hamu ya kugegedana iliniisha kabisa nikajiambia hapa siko salama (mungu nisamehe kama nilikosea) kwani katika vitu ninavyopenda ni KULA DENDA! Nikatafuta namna ya kumshawishi tusigegedane bila ya kumuumiza hisia zake. Bahati nzuri, niliondoka nyumbani asubuhi nikiwa bado sijapata haja kubwa, hivyo nikamuaga kuwa naenda msalaani kwani naona tumbo langu limevurugika. Nilienda msalaani nikachukua kama dakika 10 na kujifanya naharisha.....Nilitoka nikiwa nimeshikilia tumbo! Akanipa pole, nikamwambia kuwa wakati nakuja nilikunywa supu njiani huenda ndio imeniharibu tumbo. Yeye pia alikubali akasema mara nyingi supu za njiani huwa sio nzuri. Haikupita muda nikakimbilia tena chooni safari hii nikakaa kama dakika tano kisha nika flash choo nikarudi. haikupita dakika tano nikakimbilia chooni tena nikafanya vile vile!

Alinionea huruma sana na kuniomba ni bora niende duka la dawa ninunue (yeye ni Muuguzi) flani ninywe itanisaidia. Yeye mwenyewe akanishauri kwa hali niliyonayo ni bora tuahirishe mchezo nikakubaliana naye. Tukaondoka zetu lodge nikimshukuru Mungu.

Mara nyingi huwa napenda kufuata hisia zangu na huwa haziniangushi!
 
Nachojua mara nyingi, ukiwa watembea na mke wa mtu, uwa unapewa warning
Utaambiwa na watu bhana yule cocastic mke wa mtu kaa mbali
Au mumewe atakutafuta tu
Ukijiona wewe kidume ndio hapo unapewa kuku kishingo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bila kunitaja wee huridhiki eti lol
 
Hu
Hujamwambukiza Covid?
 

Kaka umenkumbusha pia mbali sana


Ilikua kama yako ila yeye ilikua kwake
Nafika tu nakutana na mavidonge makubwaa
Namuuliza vipi akaniambia ooh yaan hapa nnakunya damu![emoji23][emoji23] nkasema ohoooooh tatizo hili

Nkajiendeag[emoji23]
 
Ukifumaniwa piga kelele za wananiua hii. imemuokoa jamaa yangu. Ukikaa kimya umeliwa wafiraji wakatoka mbio baada ya ràia kusogea
Dah hizi mada za kufumaniwa aisee wekeni pembeni.

Nasubiri nyuzi za kula tunda kimasihara hapa[emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe Mods wapo macho khah
Wako macho sana. Ukiwa na ID mbiii inabidi uwe makini na matumizi yako maana wakiona unazingua wanaunga chap. Kuna verified member mmoja mwanaume alikuwa na Id ya kike, basi siku moja wakaunga....haha ndo tukajua kumbe ile pisi iliyokuwa inasumbua humu kumbe alikuwa ni yule mwamba.😀😀😀😀
 
Aisee
 
Kaka umenkumbusha pia mbali sana


Ilikua kama yako ila yeye ilikua kwake
Nafika tu nakutana na mavidonge makubwaa
Namuuliza vipi akaniambia ooh yaan hapa nnakunya damu![emoji23][emoji23] nkasema ohoooooh tatizo hili

Nkajiendeag[emoji23]
Aiseeeeeeeee ila watz tunapitia magumu sana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ww jamaa umakazania mambo ya kufaumaniana humu , anzisha uz wako humu n mamb y kula tunda tu,

Wake zenu wanalika tu sana ,
Leteni visa tu wadau achanen na Hawa wazee ambao hawawaridhishi wake zao
 
Ww jamaa umakazania mambo ya kufaumaniana humu , anzisha uz wako humu n mamb y kula tunda tu,

Wake zenu wanalika tu sana ,
Leteni visa tu wadau achanen na Hawa wazee ambao hawawaridhishi wake zao
Huna namba za wenye JF watufute uanachama?
 
Waziri gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…