Dah yaani nimecheka adi watu wananiona chizi

Sikuwai kujua kama jf kuna vituko namn hii aisee

story yako ni nzuri mkuu nimeipenda

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ww kiboko
 
Sio tuna Nini jamaa kakukula kimasihara alafu wewe unasema unampenda
 
Nilishamla mama mwenye nyumba kimasihara ngoja nifike safari nikae niwape story
 
Noma na nusu
 
Mkuu sasa hapa Kama ujamla kimasikhara kwasabab ulishaanzisha mahusiano nae, so alikuwa demu wako japo ni temporary Tu!
 
Hapo umetongoza mkuu, hata mimi kwq stail hzo za mitongozo nimekula wengi....But sorry Hyo sio Masihara according to Rick boy [emoji3]
 
HONGERA SANA
 
Kisa chako kinafanana fika na uzi wa mkuu mmoja anajiita qeen jojo
 
Mwanamke kaleta hii stori kaliwa kimasihara... mwanaume kaleta pia kala kimasihara
 
Ahsante kwa story ya Kusota katika Utongozaji. Ahsante kwa kuwafundisha Mbinu za utongozaji. Ila kaa ukijua hii siyo Masihara
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pacha tuishi humo tyuuh, hakna namna
Hahahaha nashangaa we pacha hadi leo hujaliwa kimasihara..mimi nimekula kimasihara juzi kati na ushuhuda upo hapo juu page iliyopita..ebu kanyegeke kdogo na hiyo story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…