Siwezi kum ban inaonekana anataman sana kunijua mimi...ila style aliyo ingia nayo ndo inamkwamisha wacha aendelee kunifatilia..

Pengine atajua mimi ni mtu wa aina gan nampa nafas ajipange upya [emoji56]
Hahaha, sasa mbona una mpa makavu hivyo ndugu yangu, kwanini usimpatie penzi lako tu aridhike?
 
Ila we jamaa hutumii tafsida kumamaae,sema una ufala sana hahaaa, umemzaliza story vizuri, uzi wako umetamalaki ufuska, ufirauni na ukahaba, mamamaninaaaa
 
Uwongo huu kumamae
 
Aliyeanzisha huu uzi ..pongezi kwake

Ndio kauzi kakusemea matendo [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu sijui ndo Riki boy ni agent wa ngono kutoka kuzimu, ukipitia huu uzi unapata makonfidensi unaenda kutongoza mke wa kaka yako, anakukataa anakushitaki kwenye vikao rasmi vya familia unatengwa unaenda unajinyonga unakufa, mamamae
 
Zinaa yoyote ya kimasihala usababisha majanga mengi

1: mimba isiyotalajiwa kwani matumizi ya mpira ya uzazi ni nadra sana kutumika

2: magonjwa ya zinaa kama ukimwi kwani humjui tabia zake na maisha yake kwa walio wengi

3:fumanzi la kawaida au fumanizi la kupagwa

4:majuto moyoni (msongo wa mawazo) mtu anafanya tendo na mtu aliyemona mala moja na hana kumbukumbu naye wala kumwona tena ni ngumu walikuwa safari kunabaki na maswali mengi huko aliko alipata mimba yangu na kama ndio mtoto hali vipi

Sio kitu cha kufurahia
 
Msibani mkoa fulani hivii!! Nikaona kulala msibani siku zote tatu siyo kabisa!! Nikatafuta lodge ya karibu nikaweka huko vitu vyangu!!

Nazingua msibani ikifika saa sita saba nasepa room nalala zangu, asubuhi narudisha kambi msibani!!

Kuna mshikaji tulizoeana hapo msibani, alipata tabu ya kuoga na kubadili nguo! Nikaenda nae lodge akaoga fresh akabadili nguo tukatoka tukapita mahali tukala na kupiga stories then tukarudi msibani!!

Katika msafara wake (ndugu zake nahisi) kuna lijidada hilo likawa nalo linatafuta huduma ya kuoga na kubadili mavazi!! Akamfuata huyu ndugu yake (huyu jamaa sasa), jamaa bila kuwaza hatari itayojitokeza si akamlengesha kwangu!! Kwamba ye kapata msaada kupitia mimi so aniombe naye apate huo msaada!!

Nikaona fresh tu, mwanzoni sikuwa na wazo la kutafuna ila tulipofika room nikamuacha hapo mi nikaenda kantini ili akimaliza anishtue tuondoke!

Alipokuja kantini akaanza habari za kachoka kulala chini sijui anaumwa mbavu anatamani alale kwa bed!! Atafute room pia!! Nikajiongeza!!

Nikamwambia tabu yote ya nini?? Mie saa sita ndiyo nakuja kulala room!! Akanipa namba ili nitapokuwa nakwenda room nimshtue nae achomoke!! 😀😀😀

Kwa 'majonzi'nilokuwa nayo siku hiyo saa nne unusu tayari nina mausingizi!! Nikashtua mzigo kwa kasms chaaap!! Dakika tano nyingi napigiwa simu anasema nimesimama huku madukani nakusubiri, mzee huyoooo kwa rooooom!!! Kilichojiri huko ni sirikali sana watoto hampaswi kujua ila kiufupi tuliimba mapambio usiku kucha kuomboleza 😀😀😀😀

Kwa siku mbili nalala raaaaha mustarehe kabisa
 
Safi sana mkuu.
 
[emoji851]
 
nimeingia zangu dodoma the city of angles
kikazi kidogo nikaweka vitu hotel flan opposite na uwanja wa jamuri inaitwa sijui camel kama sikosei
bhasi nikawa nimetoka njee ya hiyo hotel kuna canteen bhana nikawa napata cha mchana pale mara
paaa anatoka mdada mwingine nae inaonekana kaja kikazi nae bhasi sikuwa na time nae nikala then nikarudi room
mi dodoma nilisoma cbe so naujua mjii wote sema kwa wingi wa kazi nilikuwa nakula naenda kikaoni narudi kulala
day too asubui nimeamka ile natoka tu nae anatoka bhasi pale salam salam
gafla akaanza jana nimekuona kumbe na wewe walala humu ndani
tukacheka nikamuliza anapo elekea kwakua niliita usafiri bhasi na dodoma si kubwa alikuwa anaenda ukumbi wa veta nika mrush
tukabadilishana no nikasepa palipo niusu

kimasiaraaaaa
jioni nimerudi room kama kawaida nikamcheki kama karudi akasema yes nae yupo ila kalala kachoka
ahahahahha bhasi nikamwambia tuka tembe tembe kidogo mjini nae akakubali hao misile
nikampeleka chief asili opposite na maisha club tukapata msosi mzuri pale kidogo tukaona tukapoe royal
villege tukapata moja moja wine drosof then tukarudi tulpo shukia muda wote huo
adhisi hazikuwa za kimapenzi zilikuwa zakikazi tu
kurudi room nikaingia kuoga nae akaenda kwake

nikiwa nimepumzika kiutani naona sms jooooh asante nimeenjoy nikamjibu kawaida tu
ila nimechoka tumezurura sana leo ahahhah nikampa pole nikajiongeza nije kukupa massage
akajichekeshaaa akasema kama waweza ooooh im serious pia naweza nikaambiwa karibu
kufika room yake nikazama ndani pale story kidogo kama anachomoa nikamwambia worry out lala kwa tumbo
nikumassage mgongoni nikalale aahahahhah massage weee dakika kumi mate weeee
galfa shoka limewekwa mpini aahahahahahahahah
kwakuwa tulijikuta wote tunaka week nzima ikabidi tupige room moja chini tukaishi kama wapenzi

sijui yuko wapi prisca wangu ulinipa kilichozidi utamu ulipo ni mimi kijana wa chugaa nakukumbuka bado
 
Chai ya moto
 
@Moderator toa ng'ombe hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…