Mkuu kamata tia Mbata kabisaaa huyo
 
Baada ya binti kukataa kupima ndipo wazo la PEP likanijia ingawa tayar masaa yanayotakiwa yalikuwa yamepita.

Hofu ilitawala sana, shida ya kujua vitu sijui ilikuwaje nikaanza kuziona zile dalili za mwanzo kabsa ambazo zinaweza kumpata mtu ( early infection) kichwa kilianza kuuma, nikapata mafua na makoo yakaanza kuuma, lakini kila nikijicheki lymph nodes zilikuwa sawa hakuna iliyovimba, Mzee nikajua nimeupata.

Nilianza kujipima karibu kila siku, mpaka tukaanza kupigiwa kelele kwa vipimo kutumika ilihali register hazioneshi kujazwa...nilijaza vipimo getto, baada ya mwezi bado vipimo vilisoma neg, wik 6 neg, miez mitatu neg now ni miez mitano niko poa.
 
Mwaka jana kuna dogo fulani wa kiume alikuja kupiga field ofisini, bahati mbaya au nzuri kwenye Kitengo changu kulikuwa na mradi so Dogo akawa beneti sana na mimi na isitoshe huo mradi kulikuwa na posho za kutosha. Mara nyingi madogo waki pangiwa kwangu huwa siwaruhusu kutumia fedha zao kwa maana najua maisha ya chuo yalivyo, kwa iyo mahitaji madogo madogo lazima huwa nayamaliza mimi na huwa si hela nyingi kivile.

Dogo alipiga Field kama mwezi na nusu alivyomaliza field akapata allowance ya kutosha tu karibia Laki saba au Nane hivi ni nyingi sana kwa Mwanafunzi wa Chuo. Field ilipoisha akasepa zake Chuo Dar es salaam.

Sasa mwanzoni mwa mwaka huu nikawa nimeenda Dar es salaam kwenye training, nikaenda Bar moja kubwa kupiga Masanga. Wakati nip kaunta nikaona dogo ananisalimia... Kiukweli mimi nilikuwa nishamsahamu maana wanakujaga madogo wengi sana.. Akaniambia Brother mimi nui yule tuliokuwa tunafanya kazi ya Project.... Nikavuta kumbukumbu ...Then nikawa ashanijia kichwani kwangu, kwa kuwa dogo mtu wa Mitungi na Chuo chao kipo Posta pale cha wale vijana wa Mjini... Nilikuwa pekee yangu nikaomba dogo akae anipe kampani akadai kuna mwenzao ana Birthday kwaiyo wapo wengi ngoja akamlizie party then arudi.. Nikasema pouwah.

Mimi nikaendelea kupiga tungi pale kaunta baada ya lisaa na nusu dogo akaja akaniambia washamaliza ila wenzake wamekaa mezaa nyuma yangu wanamalizia vinywaji.. Nikaamua kugeuka ..Nikastuka kulikuwa na PISI kama kumi na moja siunajua watoto wa Chuo wanapenda kukaa makundi makundi. Nikamwambia wote una wajua akasema wote nawajua nasoma nao. Nilivyouliza lile swali dogo akajiongeza akasema unamtaka nani kati ya wale nimwite umsalimie..Katika muda niliopata wakati mgumu ni kuchagua katika wale kumi na moja, nikawa nachagua huyu, mara na acha na chagua huyu naacha. Kwa sababu ukichaguha huyu mwingine akinyanyuka akienda chooni unasema namtaka yule, mwingine akisimama kucheza mziki unamtamani mwingine yaani asilimia 95% wote walikuwa wanzuri na maumbo matata.

Baadae nikachagua Pisi moja hatari, dogo akaniambia tulia kwa sababu anamfaham kuna course wanasoma pamoja. Nikamwita muhumu nikawapelekea Bucket 3.
Dogo sijui alienda kumtia ndimu gani yule Sista Duu, yaani kila nilichokuwa naongea demu alikuwa anajibu ni wewe tu unavyotaka. Yaani kwa siku kumi nilizokaa Dar es salaam nilifanikiwa kuwagegeda Pisi tatu kati ya wale kumi na moja kimasihara tu.
 

Kwani Jukwaa la Elimu limefungwa?
 
Mbona siku hizi watu wanatumia dawa yanataka tu hayo. Msaidie mchuchu wako azidi kuoendeza.
 
Hiyo diary yako ya matukio siku wife akija kuifuma hautabaki salama.
 
Hawezi kuja kuipata hii, mimi kwake ni kijana niliyekulia kanisani na mshiriki mzuri. Mke lazima asijue mapito yako kama ambavyo pia sitaki kujua mapito yake.
Hizi ni "dark history"
Hizi experiences zako ziko documented somewhere ? Maana matukio mengi huwa unaandikaga every detail as if yametokea juzi tu kumbe ni miaka kadhaa huko.
 
Hahahah dogo noma Sana
 
Hizi experiences zako ziko documented somewhere ? Maana matukio mengi huwa unaandikaga every detail as if yametokea juzi tu kumbe ni miaka kadhaa huko.
Mlolongo wa elimu yangu imehusisha pia Archival Science kwenye nchi moja huko ughaibuni.
Moja ya kati ya jambo tulilojifunza ni kuweka kumbukumbu sawa. Lakini pia nina email ambayo inahifadhi drafts za matukio mbalimbali.
 
Hahaaaa eti umekereka inamaana huko juu walivokuwa wanazodoana ulikuwa hukereki?
Sijui kipi ni chuo bora na sijui ubora wao unapimwa kwa kipi ikiwa mapro wenyewe wa muhas hawajasoma muhas.. kizuri mm sijasoma chuo chcht cha afya afrika. Haya leta masikhara yako kwenye uzi huu achana na vitu vinavokukera
 
Tafadhali mnaoshobokea madem wa karatu wameungua kinyama..pia na mto wa mbu. Reason kuu ni watalii maana hayo maeneo ndio watalii wanashinda kupiga misele kwakua ni karibu.. Mbaya zaidi Wambulu/Wairaq hawajui kumnyima mtu.

Kabila gani wanajua kunyima?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…