Kwamba kesho upewe?[emoji1][emoji1]
 
sawa babaa endelea kufunguka na wengine wapate maujuzi
 
Asante kwa ushauri bro nitafanya ivyo.
 
Asante kwa ushauri bro nitafanya ivyo.
Pole sana na nakuombea uwe salama...ila kama kweli umedhamiria kupima basi jiandae pia kisaikolojia kuyapokea matokeo vyovyote itakavyokuwa....Yakija Negative shukuru then endelea kupambana..Yakija Positive plz jitahidi kuyapokea kama yalivyo ili usipoteze focus kwenye mambo yako..Najua ni vigumu kuyapokea ila jitahidi hivyo hivyo...

Kama hauko tayari kuyapokea majibu plz usiende kupima...ni bora tu kujiaminisha kuwa uko salama, akili itatulia na mwili utarejea then maisha yataendelea....mimi nina uncle wangu, sio shabiki wa kinga na hachagui dem,,,yoyote yule anakula..namaanisha yoyote yule..hana stress wala nn na yuko njema kiafya..so ondoa hofu mkuu nenda kapime..ila kama hauko tayari kuyapokea matokeo ondoa hofu then endelea na mishe zako.
 
Ila we jamaa ni malaya kumamamaeeee
 
Leteni visa mambo chit chat pelekeni selfika kule mnaboa ilisikia sauti ya mlevi mmoja
 
Bro nitakupa mrejesho when time comes nikiisha pima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…