Leo nimekula kimasihara, namba nmechukua saa 4 saa 10 nikamtafuna,

Leo nilikuwa kwenye dala dala nimekaa zangu nawaza ugumu wa maisha utaishalini? nna stress kibao, nilikuwa siti za kati kati


Gafla kaingia mrembo mwenye kiskirt kifupi akili ikahama gafla, stress zote nkazisahau mrembo kaenda kukaa siti za nyuma, nikapiga hesabu ntampataje huyu??? Dala dala ikaanza kuondoka kituo kilichofuata kapanda mama mmoja kibonge nkampisha mi nikasimama nkasogea nyuma aliko mrembo, tumeenda weee bahati nzuri wakashuka watu wawili siti za nyuma, fasta nkaenda kukaa pembeni yake, akaja jamaa akajaza siti iliyobaki,

Niliingiza mikono mfukoni nikatoa simu nikaandika kiujumbe, "HABARI YAKO NAITWA L..... NAISHI M...... NAOMBA NAMBA YAKO"

Sikuongea chochote nkampa simu kwa ishara asome ujumbe, aliusoma na namba akaandika, nikaisave na kumtext hapo hapo,

Baada ya hapo nikaingia gallery nikatafuta picha niliyopiga na waheshimiwa (zile picha za kuomba upige na watu wazito za kuuzia sura) nkamuonyesha nkamdanganya nafanya kazi manispaa ila now nna likizo, akafurahi sana, nilishuka yeye akaendelea na safari,

Baada ya lisaa tukachart nkamuambia aje apajue home, akazingua zingua nkamuambia nkianza kazi nitakuwa busy sana basi akasema atakuja jioni saa 10, kweli muda ulivofika akaja geto, tukapiga story kidogo nkamuambia apunguze nguo zitajikunja kumbe alibeba na kanga kabisaa, nimepiga kiulainiii vila kutongoza,

Nikamsindikiza na sijampa hata mia mbovu Leo ndio mara ya kwanza kumtokea demu na kula siku hiyo hiyo.

NB: UONGO KWENYE KUTONGOZA NI MBINU NZURI YA KUKURAHISISHIA MAMBO ILA KUNA KUAIBIKA MBELENI
 
Hahaaa ulikosea mahali, mm week jana nilipata moja nikaomba namba ikanipa, ila baadae naichek ikauliza jina kisha hata msg haijib, nikaiomba appointment ikasema nitakujib, baadae ikasema kesho nitakuona sehem wanauza matunda yan sehem ya wazi tu gengeni, nikasema sio poa mke wa mtu wewe! Akaona mm jau basi akakausha, kesho yke andika msg ya salam hajib, piga simu hapokei nikasema huyu anajiona ngoja niachane nayo! Ndo nikakumbuka ushauri wa jamaa humu alisema msifie mwanamke! Basi nikaka nimadizain msg ya sifa za zaidi ya wake wa wafalme duniani, kisha nkaituma kusubiri kukaushiwa au kujibiwa au kuzodolewa.
Hahaaa mara msg ndiiiiii kufungua "aisee umefanya nimecheka sana sms yako, yan sifa zote hizi zangu mimi, hebu acha uongo wako huko"
Nikakazia yaamini hayo yametoka kichwan kwa mtu mwenye akili timamu ambae hajalewa hata robo ya pombe.

Jibu lililofata kesho nitakutafuta mchana.

Mchana nikatafutwa tukatafuta kiwanja hapa Songea tukatulia.

Leo naulizwa baby umelala??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ety kumamae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa
 
Hahahaha jamaa umeacha nimecheka sana aisee daaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kunae katoto hapa mtaani nimekakosa kukatia mboo Leo sababu kuu ni kuw hakataki kwenda guest

Na ukiangalia home wife yupo

Nkaomba geto LA msela,daaaa demu akaja cha ajabu akata kataa kata kata kuzama ndani

Nkamuambia basi poa ww tembea tu Ila nimekaa ucku mida ya SAA 4 kananibeep eti niende kwako nikale mbususu wakat mm nipo home nimelala na wife

Harakati za pimbi kweli zipo aiseee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka aisee
 
Huo mtego mkuu.
 
[emoji28]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Etii harakati za pimbii daaah nimecheka sanaa aseew
 
hahahaaa
 
Kamekuona wewe ni pimbi tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…