[emoji23][emoji23]
 
Mfilaji ndo nini wewe kiazi
 
We mbwa umenichekesha ***** zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pambaf achana na watoto wa shule sio vizuri mkuu imagine angekuwa mwanao
 
Ile naanza arakat za kula kimasihara nasomaga umu wadau wanasema "nikamshika paja ,akatulia tu" sasa namm nkashika paja kutest mitambo nikaona kimya sijakaa sawa nkackia bonge la Banzi linatua usoni sijakaa sawa banzi jingne likiambatana na neno "Unikome" ntaleta mrejesho tukishasuruhisha[emoji34][emoji34]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ pole sana mkuu
 
Zinamkuta kila mtu hizi. Lakini hawazisimulii. Visa vinavyoletwa ni vile vilivyotick tu
 
Duh! Huu uongo umevuka mpaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Bajaji?
Hapana aisee, turudishie hela yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…