Uliuza mechi mzee
 
hii ni chai kabsa tena ya moto...
 
keshapewa onyo la mwisho huyo
sasa unataka round hii wamjazie watu?🤣🤣
 
Huna maana kumamae, mbinu zako za kula wake za watu zimenipa karipio kali na faini mtaani hapa,manina kabisa
mkuu faini umeiweza? maana wazee wakikuweka kikao siyo mchezo
pale uchagani bro wangu aliwekwa kikao ni kama wanaua nyoka wale wazee kikao unawalipa 10k 10k alafu kumaliza kesi ni mbuzi na cha mbege
 

Sasa masihara hapo yako wapi? Umeomba hadi kuomba mkajupanga na ratiba ya kwenda gesti. Hiyo sio kimasihara! Hii ninplanned.
 
Zipo mkuu sema si unajua mji wa kiutalii huu kaka,,guest nzuri utaambiwa 60k,alaf uchumi wetu wa kati huu.
Siyo kweli mjini kabisa soko la kati kuna hotel bei rahisi kabisa mfano golden hotel ni ghorofa sema watu wanaogopa wakijua igakuwa bei kubwa
 

Jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…