huu uzi umeanza kuongoza kwa uwongo
na getto pamekuwa kwa antii tuendele sooon utasikia kwashangazi
Kweli wewe ni Yuda aisee hata macho yako yamekusaliti. Sehemu zote nimerefer my aunty's place as home na sio getto. Sina getto na sina mpango wa kuwa na getto. Halafu ni ghetto sio getto usiseme ni error tu😂😂😂😂
 
Leo naenda kuka kimasihara ila sina hakika.
Iko hivi, mdogo wangu alikutana na drm akamwomba namba akapewa, ilikuwa mida ya usiku usiku, sasa jamaa ni kiwembe hatari ss alikuwa na drm mwingine ikabidi anipe ile namba , kutokana na haiba niliyonayo mm huwa siwezi kutongoza dem ninayekutana naye first time. Sasa huyu dogo japo ni bosi kuliko mimi yeye anatongoza kila mwanamke anayepita mbele yake.
Basi bwana nikaanza kuchat naye kama kawaida maswali ya umetoa wapi namba yangu yakaulizwa. Nikajitetea kiaina akanielewa japo kama hakuamini.
Target yangu mm nimweke friend zone incase siku nimekosa kabisa nimtafute.

Basi nikamwambia siku nikipata mda nitakutafta tufahamiane. Kuna siku nikamwambia nipo maeneo alipo, sasa nlienda tu kwa shuhhuli zingine, bahati mbaya wakati natoka nikawa nimesahau kama nlimwahidi tuonane, ilipofika jiona akaniambia nimemuuza, nikajitetea hapo yakaisha.
Sasa ndo ikawa kila siku anakumbushia kwa kusema leo nipo free tunawezaonana, imepita kama 2 weeks sasa toka tuanze mawasiliano.
Leo asubuhi nimeamka nikakutana na sms akiuliza kama nitakuwa na mda leo. Nami nlikuwa nimetaman kuuliza swali kama hilo ila nlikuwa nasita sababu kesho nina miadi na girlfriend wangu wa siku zote. Ila kana aliomba elf 5 sikujibu sms sababu biashara za kuombana hela huwa sipendi.
Sasa wananzengo huyu dem nafikiri keshaelekea kibra mwenyewe. Ni kwenda kuchukua na kumchakata tu.
 
We jamaa usimruhusu yaan kumpa deny kimasihara yaan, yeye mwenyewe anakua katika wakati mgumu kuamua akupe au asikupe. Unavyozidi kumpa romance ndio anatoa tundra kimasihara. Yaan akili inapokua fifty fifty ndio tundra linaliwa.
Asa ww umemruhusu akili zikamrudi akakimbia.
Ngoja nilete nilivyokula kimasihara binti mmoja denti, na classmate.
 
Unaonekana hamkuzoeana sanaa
 
Safi Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi,sema mabaharia mnatuchapia sana wake zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajikuta sana 500k mbunye yake ina nini???ulifanya poa 5Ok ilimtosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…