Anajikuta sana 500k mbunye yake ina nini???ulifanya poa 5Ok ilimtosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ana bahati alilia kile kitendo cha yeye kulia kuna huruma flani ilinijia. Maana nilikuwa naenda kumuitia uber tu na uhakika isingezidi 20k.

Mimi nikimuona demu analia yaan sijui inakuaje napatwa na huruma flani isiyo ya kawaida. Kuna siku nilikuwa kwenye ofisi ya bursar chuo kupeleka slip ya bank kuonesha kuwa mimi ni mwanafunzi huru kufanya mtihani. Nakumbuka that time ili ufanye mtihani usiwe na deni linalozidi 500k so inabidi liwe chini ya hapo. Kama lipo zaidi hufanyi mtihani ukipata baadaye unalipa ila unarudi September kufanya first sitting exam.
Hii mitihani huwa ni migumu kinoma so hakuna anayependa kuifanya. Sasa nipo pale naongea na bursar this beautiful girl wa mwaka wa pili ( nilikuwa namuonaga tu chuo na kumuappreciate ila sikuwahi hata siku moja kumpa salamu yangu) akaingia na slip yake na yeye. Kuonesha kweli kalipa ila deni lake bado ni 700k. Akaanza kumuelezea bursar alivyohustle mpaka akapata that amount ili tu apunguze deni afanye mtihani ila Bursar akakaza kumpa examination card hapo mimi bado nimesimama nasubiri anipe examination card. Demu akaanza kulia. Aisee niliumia genuinely kusema ukweli my heart was really heavy at that time. Bursar akamwambia tu sorry hayo ni maagizo niliyopewa kutoka kwa DVCAC labda umfuate mwenyewe personally umueleze yeye ndio akurefer kwangu. Nafikiri hata bursar mwenyewe aliguswa.
She walked out kinyonge sana. Nikachukua exam card yangu chap nikatoka. Nikamkuta kakaa kwenye bench nje ya ofisi ya bursa analia. What I did, nikaenda kukaa next to her. Nikamwambia sorry nimeoverheard conversation yako na bursar. Naweza kukusaidia the 200k utanirudishia ukipata. Damn!! aliniangalia na macho flani hivi yana machozimachozi hivi. Akaniambia really nitashukuru sana. Nikaingia sim banking nikalipa that amount nikamforward the text iliyorudi kwangu nikamwambia kamuoneshe bursar. Kusema ukweli nilifanya vile with an open heart hata bila mawazo ya kumla. Akanipa her namba nikampa yangu nikataka kuondoka akaniambia nisiondoke nimsubiri. So nikamsubiri mpaka akatoka njiani tukawa tunapiga story nikaja kujua her parent wapo separated so kwenye fees chuo huwa inakuwa vuta nikuvute and a lot of other stuff about her.
Baada ya pale sikutaka kumtafuta sikutaka awe pressured labda nataka hela yangu nikachill tu. Mitihani yetu huwa inachukua almost 2 weeks.
Sasa wiki hiyo ya pili baada ya kuanza mitihani. Akanitumia text kuwa amepata kile kiasi nilichomuazima anayo cash. Akauliza kama nakaa hostel nikamjibu ndio akasema kama sitajali nikachukue in her room. Sasa kumbe alikuwa ana room ambayo wanakaa watu wawili.
Nikaenda akaniambia we ingia tu hakuna mtu mwingine alikuwa amevaa kigauni flani chepesi cheusi. Kimeishia katikati ya mapaja. Aisee she has this body wazee noma sana. Ilikuwa asubuhi akuuliza nimepata breakfast nikamjibu no basi akatengeneza chai ( palikuwa na heater) tukawa tunakunywa huku tunapiga story. Baadae akasimama akaenda kwenye draw akachukua the cash akanipa nikapokea hata sikuzihesabu.
Kwa kweli muda wote nilikuwa nashindana na hormone za mwili hii ni vita kubwa aisee zaidi ya vita vya kiuchumi kati ya USA na CHINA. nikajitahidi kusimama hivyohivyo niage nisepe bwana mdogo huko chini kajichora tu. Akaja pale nilipo akanihug akasema thanks aisee ni nilimvuta nakumla mate wala hakuonesha any resistance. Foreplay kwa sana baadaye akasema wait akaenda kulock the door ikawashwa W-KING. Watu tukafanya yetu. Alikuwa na boyfriend wake na nilikuwa Girlfriend wangu. Maisha mengine yakaendelea
 
safi sana,hukupunguza alizokupa kumwachia kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh hiyo ni
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mwamba alikua anaitwa KIRUNGU,alikua anatuma clip zake balaa mpaka NANCY M akampa offer ya kumtafutia jimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pia kuna wakati Nancy alilalamika PC yake inamsumbua,wadau wakachanga hela na kumnunulia Macbook

duh watu kwenye mbususu wanachangia ndio ujue mbususu ina nguvu kiasi gani
 
Ulivyoanza nikajua umemtafuna aunty.

It was unnecessary to mention her in this thread....
 
Mm kuna mmoja alinambia atauza ng'ombe kwa Kesi ya kuku.
 
Mkuu umefaidi sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] INTERGRITY njoo huku umuombee mwalimu wako kimeumana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mkuu shusha ,usisahau kunitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…