Mimi nalingojea hili Storiiiii kabisaaaaaaa

Saizi nko kwa mke wamtu, ananiandalia chakula jikon huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan vinanukiaaa hahahahaha anakaangiza

Mke wa mtu ni sumu Utazibuliwa ohooo shauri yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mkuu anaendelea kukunyea bado????
 
Umekutana na malaya kaka,muuza papa mzoefu
 
Kuna mwamba alikua anaitwa KIRUNGU,alikua anatuma clip zake balaa mpaka NANCY M akampa offer ya kumtafutia jimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pia kuna wakati Nancy alilalamika PC yake inamsumbua,wadau wakachanga hela na kumnunulia Macbook
Hahahaaaa, wewe jina lako ulikuwa nani (Jokes)? Make una details kweli [emoji23][emoji23][emoji23] halafu profile pictures za wajuba kule ilikuwa ni balaa [emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mwamba alikua anaitwa KIRUNGU,alikua anatuma clip zake balaa mpaka NANCY M akampa offer ya kumtafutia jimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pia kuna wakati Nancy alilalamika PC yake inamsumbua,wadau wakachanga hela na kumnunulia Macbook
Mule ilikua n balaa,,,, mie nlikua natumia anonymous
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ukapanda gari lenu ukinuka choo🀣🀣
 
Mimi nalingojea hili Storiiiii kabisaaaaaaa

Saizi nko kwa mke wamtu, ananiandalia chakula jikon huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan vinanukiaaa hahahahaha anakaangiza
Ujasiri huo unapata wapi aise 🀣🀣🀣
 
Mkuu
Umesoma vyuo vya mahindi, tofauti na hapo itakuwa kile kilichopo Mikocheni, ila unahisi kile cha mwezi beach mtaa wa vifaranga vifaranga,

Mkuu uwe unaweka CODE au kudanganya eneo ili kuweka privacy
Hakuna haja mkuu. Bado eneo lipo anonymous. Japo hujatofautiana na ukweli
 
Mimi nilishamsaidia mdada 500,000 ya ada, nikiamini atanirudishia na kweli alikuja kunirudishia.
Akataka kuniletea mazoea nikapotezea.
Wanawake wana roho ndogo sana, akisaidiwa anasaidia pia
Mkuu nimekuja kuamini kitu kimoja kuwa na pesa. Nyingine mbwembwe papuchi za shukrani kwa msaaada zipo kama zote. Tena hawa watu fuckzone wenyewe hawataki kutoka. na huwalipi wanakuwa grateful foreverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Piga chini hiyo mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…