nakuunga mkono 100 pec nishapiga kwa staili hiyo sana alafu ili uwale usiwe na shobo
we mpee huduma asepe wengine utasikia naomba namba ya simu ili nikipatta tatizo unisaidie
manake .................
Hii ni kweli kabsa
Nakumbuka nilikuwa nafanya kazi sehem moja na muda wa kufanya kazi ni maasa 8 yaan saa 0730 hadi 1530 sasa muda mwingne wateja wanakuwa wengi hadi saa 1530 mnakuwa hamjawamaliza inabid muwakabidhi kwenye shift inayo fuata(hapo kuna usumbufu wake)

sasa wakati mm natoka siku hyo kuna mdada akaniita kwa jina (nahis alisoma kwenye begi niliyovaa) mm kusikia naitwa jina nikageuka kucheki mtoto amenyooka kama mpunga.

Akasema tafadhari nipo hapa toka asubuh saa moja sijahudumiwa naomba unisaidie huduma yake ilikuwa kubwa kidogo inachukua mult depertment ilibid nipite kwote mwenyewe ili tiwahi kuondoka mwisho akaomba namba ili imrahisishie next time kilichofuata ni maswali tata mara umekula,,, unafanya nn now na mm sikuwa na hiyana nikamsaidia kuisoma katiba
 
Miaka 10 ya ushindi
 
Ibara ya 7 ilikua inasemaje???
 
Hamjambo ndungu zanguni!

Mzukaaaaaaaaaaaaa wa riki boy unaendeleaaaaaaaaaaaaa

PICHA LINAANZIA

Nimerudi zangu village baada ya muda ukatokea msiba wa kiongozi wa kiroho hapo bush alikua amefanya huduma sehemu mbali mbali hivyo msiba ukawa mkubwa kimtindo,
Sasa buana siku ule kulikua na nyomi ya watu kimtindo wengine wametoka miji ya jirani maana kijiji chetu kipo katikati ya miji miwili ambayo ni kama km 20 na mwingine 30,

Wakati tunasubiri maiti ifike church watu wana kawaida ya ya kusubiri kijiweni maana kanisa lipo karibu na uwanja wa mtaa na maduka
Mimi na anko wangu kipenzi mzee wa pisi tukajisogeza pale tukaanza piga story na wadau huku tukisubiri ibada ya maziko aisee kucheki hivi mbele nikaona pisi nyeusi fupi fupi ipo na kikundi cha kina mama inamjadili mwendazake mwinjilisti aaaaaagh nikaanza kuizoom

Sasa na yenyewe ikaanza kunizoom kimtindo inaongea inageuka tunagongana macho daaaaaaa
Halafu wote tulikua tumevaa miwani kwahiyo nikawa kama wa kipekee pale kila nikikwepesha macho kidogo nikigeuka tunagongana ikaanza kujichekesha pale sasa mzee ankori akanambia oya the terrible ee haka katoto kanatoka mji X hua nakaona shop flani ivi kanauza duka lao
Nikapotezea pale siku zikaenda imepita miezi kadhaaa hivi

Sasa mwezi uliopita nikawa nimetua town ambao hio pisi inaishi maana ndo kama ghetto vile ndugu zangu wote wanaishi hapa na kutoa village mbaka hapa nusu saa tu unateleza ushaingia town
Nikawa nimetimba sasa buana nikawa nawaza hivi ile pisi itakua pande zipi maana nilikua naiwaza hatari

Kuna kamtaa hua kapo nyuma ya hapa home kamechangamka sana hua naenda kununua mazaga hua kuna kabinti keusi kanauza duka kakawa kana I change kia balsa na kuchekacheka nikasema mtoto kanielewa nini maana kusema ukweli hua nawaka kimtindo yaani hapa kitaa ni kama fashion killer wao zile shobo hazikunishtua sana nikapotezea nikanunua zaga nikasepa na kesho take vile vile nikanuna vocha nikasepa japo mtoto anajichekesha ila mawazo yapo mbali sana

Bado nikawa najiuliza ile pisi aliyosema ankori inashinda dukani nitaipataje nikawa sina jibu mazeee

MISSION 1
Jioni moja ya wiki mbili zilizopita nikiwa nasubiri moto ukolee kwa jiko la mkaa maana gheto gesi iliisha nianze tengeneza diko mapema ikapita ile pisi yenye shobo ya pale dukani ikapaza sauti pika nakuja kula!

Nikasema hebu njoo kwanza mtoto mzuri unaitwa nani?
Ikajibu naitwa A kwani hunikumbuki tulionana kijiji X kwenye msiba ? Au kisa sijavaa ile miwani ndo maana umenisahau ?

Akili ikanijia kumbe ndo wewe wa siku ile looooooooooooh yaani kila siku nakuja hapo dukani kwenu sikugundui kama ndo wewe ikajibu ndo Mimi nashangaa wewe ulikua umenisahau kabisaaaaaaaa

Wakuuu nilifurahiiiiiiii kishenzi nikajua hapa game imeisha nikaiambia nenda halafu uje dear ikajibu powa

Dk 10 mtoto huyu hapa nikaivuta sebuleni kwanza kufika tu nikafunga mlango nikaikumbatia ikarespond nikashika kiuno,peleka mdomo nyonyaaaaaaa mate hio ikajaaaaaaaa aisee papasa takroooo mtoto laini hatari nikaipakata mazee nyonya shingo na masikio nikawa inahema tu nikaanza isifia pale kua toka nakuona siku ile nilidata sana nikajiuliza nitakupataje yaani kimaajabu nimekupata bila kutumia jasho na yenyewe ikanambia ilishanikubali toka day 1 na tena ile siku ya msiba ilikua ni siku ya pili Mara ya kwanza kuniona ilikua siku ya vipaimara vya madogo mwaka Jana ilikuja maana kule village ana ndugu zake walikua na sherehe nao na Mimi hio siku ya nyuma yake ndo nilitua toka jiji la bandari hivyo kale kasuti kangu kalimdatisha balaa nikasema alaaaaaaa kumbe uliniona kabla sijakuona basi inshaalaah!

Kufipisha stories nilikatafuna siku ya pili yake katamu balaaa katoto kadogo kalaini kale daaaa bao tamu sana nilipiga,nishakachakata na juzi hapa na hapa naendelea kuchakata kiulaini ,

Imeisha hiyooooooooo
Sema ndefuuuuuuuuu kidogo

Mzuqaaaaaaaaaa!

Yadumu masikhara!

Riki boy huendi mbinguni
Pepo tutaisikia kwa shekhe kipoozeo tu maninaaaaaaaaaaaa!
 
hahahhhahaha nafanya imagination ya mabiishoo wa bush wanavyokuwa nimebaki nacheka 2
 

Mr ticha punguza hasira bana [emoji1787][emoji1787]
 
hahahhhahaha nafanya imagination ya mabiishoo wa bush wanavyoku

hahahhhahaha nafanya imagination ya mabiishoo wa bush wanavyokuwa nimebaki nacheka 2
Haahaaahaaaa mkuu nimecheka et mabishoo wa bush haaaaahaaahaaa umenikumbusha mbali sana enzi hizo miaka ya 2005 huko ankori wakati anasoma alikua bishoo sana wilaya yote shule za girls alifahamika na swagger zake kama za Nelly wa dilemma basi alichakata sana wadada toka anaingia form one mbaka anamaliza chuo nadhani zinafika pisi 200 pumbaf zake huyo ankori nimeshuhudia akila kimasihara pisi zaidi ya 20 wakiwemo wake za watu nikipata muda nitaleta masikhara yake niliyowahi yashuhudia live wakiwemo maaskari,walimu,manesi,pisi za watu najua hayumo humu Ila jamaa anatisha sana sana yaani kasoma na anavidegree vyake ila hajawahi pata kazi ila anabahati ya kuchakata tu !
 
watu wanafikiri wanaofumaniwa wanafumaniwa kizembe......kuna watu mafia nchii achaa tuu...mtu anahusisha mpaka polisi na watu wa kaunda suti yaani mfumanizi anashikwa kama kuku wa kideriiiii.....alafu hupelekwi polisi wala wapi inakuwa imeshaandaliwa sehemu ya kukutesea na hao hao polisi.....achane nyieee kuna watu ni mafiaaaa........
 
Kabisa mkuu.
 

Nomaaaaa ngoja si tuwanyandulie porini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…