Aseeh pangilia vizur maneno yako
 
Kwa uandishi huu labda kama unakaa karibu na chuo ila hujawahi pata admission ya chuo chochote
 

Mkuu uliandika huku unaogopa Kimbunga Jobo nini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nyie vitoto vya The Amazon College ndio muandiko gani huu
 

Dah yani nimesoma kama nipo stand ya bus mwandiko jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
usituchoshe kusoma ujinga wako
 
sikufichi umeandika uozo [emoji34]
 
jacquis tuyiSENGE
 
Daah. Huu mwandiko ni wa ulimwengu wa peke yako. Umecharaza mnoo
 
Hii hatari mkuu mi kuna mmoja huyo alikuwa hovyo enzi hizo now kawa piruu kinoma yaani anajambia mbali hatari sema wazee wamewekeza hata kuomba mzigo noma
Umemshusha sana mkuu kuna kamoja ka hivyo mpaka form 3 lips inachafuka na kamasi lakini sasa hivi ukikaona kanakaa meza moja na kina mobetettle yani na kama rangi ya mtume ile ya asili sasa hivi ni mwana mmoja alikuwa mwehu mwehu harleweki anajilia neema
🤣🤣
 
Siyo kizembe kabisa mkuu yani mwenye chake na pesa anayo wachana nae
Kuna mwana alipakwa mafuta siku nzima hadi waleo hajawahi kanyaga mjini miaka 7 sasa
 
Jifunze kuandika, kiazi wewe.
 
Mwandiko wako wa kitoto sana,,,inaonesha ur teenager
 
Ukidakwa usije tuambia hapa
 
Yaani huwa wanakuaga watamu Basi tu yaani.
 
Mwandiko mchafu huu balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…