Uandishi wako Ni mbaya sana .
 
Huu ndo mwandiko wa mnyonge sasa
 
Huu ni mwandiko gani jombaa?
 
Eti hapa tunategemea kupata mtaalamu?
 
huu uandishi mkuu umeamua tu sindio
 
Umetumia majina yanafanana sana kiasi nahisi umeyachanganya, Asha Mswahili, Aisha Mrembo
Aisha alitokea kukuzoea ila ulikuja kumla Asha Mswahili!!

Demu wako akija, Asha anakupotezea! Nae tuseme alikuzoea pia!!
 
hivi viatu vyako havinitoshi, mimi sijui ningemfanya nini, anyway huenda hajui kama ana umeme
bora lakini umetumia ndomu, zinatu save sana aisee
Kondomu siziaminiii[emoji706][emoji706][emoji706] mwezi uliopita ilibaki kidogo niitwe baba bila kutegemea
 
Compaund ambayo nakaa ina Nyumba 4 zote ni za kupangisha. Tumepanga watu tofauti kila mmoja na shughuli yake kama unavyojua mambo ya mjini.

Jirani yangu kuna Dada anakaa. Ila sina mazoea nae. Zaidi ya kusalimiana tuu na vile mini sio mtu wa kukaa sana nyumbani hivyo huwa hatuonani sana, night moja nilisikia mlango wangu unagongwa mida ya saa 3 usiku. Nilikuwa jikoni nakaangiza kidogo nile. Alikuwa huyo jirani mrembo. Mkononi alikuwa Ameshi Ki Remote cha mita ya LUKU.

Nikamkaribisha akaingia Sebuleni kisha nikamwita hadi jiko. Nika mkaribisha, tukasalimiana, akaniambia umeme kwake umeisha hivyo amekuja kwangu ili aweze kuingiza. Nikamwambia endelea. Akawa yupo kwenye Extension ya TV anaweka luku yake.

Nikapunguza moto jikoni nikamfuata nikamsaidia akafanikiwa. Nikaongea ki utani tuu kwamba chakula kipo tayari aje kula, akasema ana njaa lakini anajisikia uvivu kupika ndo kwanza anafika nyumbani ngoja akaoge kwanza.

Akaenda akaoga. Baada ya nusu saa hivi akawa amekuja na Track suit yake basi nikamkaribisha tukawa tunakula Ugali, Mayai na matunda. Tumekula tukawa tunapiga story za kawaida, nikamuomba na mm nikaoge kwanza nikaoga tukawa tupo Sebuleni tunachek mechi ya Afcon

Mida ya saa 6 hivi akawa anataka kulala, nikamwambie nikusindikize kwako basi for first time ndo naingia kwake, nikapiga porojo mbili tatu nikamuuliza nakuagaje sasa.?? Akasema vyovyote. Basi nikamkumbatia akawa kafumba macho akasema asante nikaondoka.

Nikaingia ndani nikalala. Mida ya saa 8 hivi nasikia Geti linagongwa, nikasogea nikauliza we nani? ( Mimi jakiiiii) basi nikafungua mlango nikamuuliza vipi mbona usiku vipi? Akasema unajua sina namba yako ya simu,? Nikamuuliza ndo usiku huu sasa mbona hukusena saa ile. Nikaona dalili fulani sizielewi. Basi nikafungua Geti akaingia. Tukaelekea chumbani tukalala

Asubuhi akaamka akaenda kwake. Akajiandaa akaenda kwenye mishe zake.

Sasa hivi ndo umekuwa mchezo. Hakuna siku nalala peke yangu. Tunaamua tu tulale wapi. Tukipika kwangu tunalala kwangu. Tukipika kwake tunalala hapo hapo full Kunyanduana na kuchafuanaa Fuzi.

Design sasa amekuwa kama mke. Japo kila mtu ana maisha yake
 
Tayari wewe ushaingizwa kwenye target, wewe unaoa kimasihara [emoji847][emoji847]
 
me nauliza tu mpk sasa cheo cha field marshal wa kula kimasihara tunampa nani?
 
😆😆😆Nikitaka kucheka huwa nakuja kwenye uzi huu tu....lugha kwanza ni mvuto hongereni mawakala wa shetani kwa bidii
 
Ilikuw 2019 kipind hicho naishi mwanza ,sehemu nilipokuw nmepanga kwa chumba cha pemben aliishi mdada flani anasoma chuo udaktari(wanajisikia sana hawa mbwa), sikuwah kuwa na mazoea nae hata kidogo ,alikuw anajiona mno nahisi ni kwa sababu ya koz alokuw anachukua wakat huo.

mi nilikuw ni mtu wa kutoka asubuh narud night ,nikifika getho ni salam tu bas na penyewe akijibu poa unaishia kusikia p ile (oa) huisikii vizur, nikasema fresh haya maisha tuu . Demu alikuwa mkali balaa kiuno sijui alikijaza gasi maana sio kwa kishundu kile

Siku moja niliamka asubuhi sana (weekend) nikafua nguo zote so alipoamka na kutoka nje alinisalimia kizungu nikaitikia ,akauliza mbona hukuniita nikakusaidia nikamjibu usijal siku nyngne (apo baharia nilijipandisha nyota[emoji1][emoji1]). Akili ya kishetan ikaniijia ikisema "nmekutengenezea njia ya ww kumla muda wowote uutakao, baharia nilifreeze kwa muda huku nikiendelea kuwaza namna ntakavyomchakata uyo mzungu kafiri.

Jion nilimgongea hodi nikaomba namba then nikasave BOSS,i mefika night nikaanza tena kuwaza ntamlaje leo afe kipa afe beki lazma aliwe, nikamchek mhuni mmoja akaja kunirekebishia movie moja(huyu jamaa alikuw anakata kipande cha movie katkat anaweka xxxvideo[emoji1][emoji1],

Usiku nilinunua dawa nikaweka mezan ili akija ajue serious naumwa maana nlimtext kuwa najiskia vibaya akanijibu nakuja kukuona (mbinu ya kibaharia hii), alikuja amevaa kisketi flna iv chepes af kifupi (nahisi shetan alikuw upande wangu 100%,)

Tulipiga story sana shetan akaniuliza umemuita aje apige story au, baharia niliirukia ile cd kama umeme nkamdokeza "boss mda wote umekaa c bora urefresh mind akaitikia poa(kinafik), uyu demu fala sana.

Tuliangalia movie kama dk 6 cndo picha ikabadilika hahahaha kumchek boss ameinama et anaona aibuu nikamsikia shetan anachekelea kwa mbalii, nilimsogelea shika titi katulia shika paja mara ooo unajua mi sipend alafu mbona macho yako yamekuwa mekundu ghafla, mi najua nimekuja kukuona na kukujulia hali kumbe hali yenyew ndo hii.

Sikumjali niliendelea kuscan mwili wake kugundua code zilipojificha, sikuishia hapo nikaona ngoja nimalizie kukamilisha usajil kwa alama ya vidole kwa kupima oil nikasikia aaaassh baas bas baaas niruhusu niondoke, baharia kuchek ndomu sina nikachukua ule mfuko mweupe nylon nikavaa then[emoji1][emoji1] nikamchakata, kilichokuja kuniboa katkat ya game alichukua dushe akazamisha 071 ,inaonekana alikuw mzoefu sana maaan ilipenya kama CCM mbele ya CHADEMA ,aisee stimu ilikata ghafla kama teja alokutana na defender, nlibadilika nikamuuliza hii nini ,akajibu napenda kwa mpalange, huku mbele sio sana so usinichukilie kama malaya please, kusikia ivo niliwaka nikaona bora kumtimua mageton.

Alikuja kuhama baada ya mwez nafikir alikwepa aibu maana baada ya hapo sikutaka tena mazoea na yy ule uzungukafiri akawa ameachananao, uone sasa dunia ilivyo ya ajabu,alikuja kuolewa na bamdogo. nlishtuka tulivyokutana hat yy pia alishtuka sikumzingatia sana ikabid nimuite bamdogo pembeni anipe abc za uyu mke wake.,akanambia anamwelewa kichiz na nibint mstaarabu.nikamwambia hakika bamdogo huyu mke ametoka kwa bwana.bamdogo akaitikia dogo siku izi unasali.bas tukacheka mambo mengne yakaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…