Hongera sana
 
safi baharia.
 
Wewe ni mbakaji. Umetumia madaraka yako kutembea na huyo teacher ( Undue influence).
 
Safi hongera Mkuu.
 
Wenzio tulianzaga ivo ivo
 
Hongera mwamba.
Yaani ukizoea kula kimasihara unaweza kusahau kutongoza kabisa.
 
Ndoa za namna hii huwa zinakuwa na baraka kweli maana bibi harusi anaingia kanisani akiwa mchafu???yote kwa yote hongera mkuu kwa kumchapia mwana.
 
Hatari sana. Hongera
 
Ndoa za namna hii huwa zinakuwa na baraka kweli maana bibi harusi anaingia kanisani akiwa mchafu???yote kwa yote hongera mkuu kwa kumchapia mwana.
Hakuna msafi ndugu.

Usiogope namna watu wanavyokuwa watulivu kanisani.

Mimi nishashuhudia Mchungaji katoka kuchakata dada ambaye ni mwanakwaya saa nne asubuhi na bado akaenda membarani kufungisha ndoa saa tisa alasiri kama kawaida.

Ukweli kwamba unaoa mwanamke ambaye hana bikra hiyo ni wazi kuwa tayari utakatifu ushaondoka.
 
Nakushauri umwoe tu kama umeona anafaa kwa matumizi ya binadamu. Mchunguze vitabia fulani hivi ukiridhika oa.

Hakuna cha ajabu kwenye dunia hii mke ndo huyo umeletewa ni wewe tu
 
Nimekupata Mkuu,hakuna namna ngoja tuwe wavumilivu.
 
mkuu nakukumbusha tu usisahau kumpa iyo namba ya simu aliyotaka
 
Kila story unachukua point zako apa me nmechukua iyo ya kumix CD... Kimasihar kaz kaz hakuna kulaza damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…