Sidai 😂😂 no 4-ways au 4way
 
Hapa ulikula cha nguvu au cha kukimbiza 😂😂😂😂
 
Hivi?? naomba kuuliza waheshimiwa make naona kula kimasihara watu wanapenda sana, lkn wakuliwa hawataki kusema jinsi walivoliwa ila walaji tyuuuyyy!!! hiyo kama ukila mwenyewe ya masihara yako kuna makosa kweli?? Dunia imebadilika sana.
Halafu waliwaji ndio watengeneza mazingira sasa
 
Ngoja nicheke kwanza uliposema wanajiskia Sana hawa mbwa afu narudi kusoma [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mechi ya AFCON ipi tena mkuu???🙄🙄
 
Tatepa
 
Condom mlitumia kweli nyie????
 
Wewe ni mbakaji. Umetumia madaraka yako kutembea na huyo teacher ( Undue influence).
Huyu jamaa ni MBAKAJI pure!Hili jambo nimeliwaza hadi leo.Imagine,pengine huyo mwalimu ameolewa,akakubaliana na Mme waanzishe mradi wa kuongeza kipato, Mme kamwamini ashughulikie usajiri na mke akatekeleza.

Lakini afisa mmoja AKAAMUA KUTUMIA MADARAKA YAKE VIBAYA NA KUMBAKA MTEJA WAKE!Naamimi kama huyo mwalimu asingetoa ushirikiano hiyo fomu angemnyima!

Aisee inafikirisha.
 
Kodi ya nani itaanza kuisha hili swali likijibiwa ndio tutajua nani anaenda kuolewa....

Afu mkuu umesema hanna mazoea sasa mbona day one tu alipazoea home km vile yy ndo mother house hata asisite kukutwa na mtu wako au mke?

I bet she is classic danga
 

Kubaka kuna maana mbili moja kushiriki mapenz na mtoto chini ya miaka18, Au kupata penzi kwa mtu sahihi kiumri bila ridhaa yake.

Sasa hapo jamaa alibaka au aliomba rushwa ya ngono?

The home of great thinkers
 
Compact disc bado zinatika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…