Hii haijakaa kimasihara
 
Namba ya mmasai plzzzz [emoji23][emoji23]
 
Yaan jf kuna watu wenye tabia chafu kias hiki? Sasa huyu uliyempost je km ana ndugu zake humu , wanajisikiaje/watajisikiaje waonapo picha hizi

Kwa hiyo na wewe ukawaza kuwa nimepiga hiyo picha, iko yazunguka kwenye status za wahuni za whatsapp..... afu hapo sura haina utambulisho
 
Mzee sio kwamba umechukua maji bombani ukamwagia hapo bed uje uturushe roho hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Huyu kijana hashindwi hata kukojolea shuka akasema ni manzi ilimradi tuu ionekane papuchi sio suala jepesi, sasa ukitaka kuona moto wake jaribu kwenda kwenye harusi sijui mahari uanze kukonyeza konyeza wadada uone moto unavokuwakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…