mdogo ake yupo jalalani mwaka wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah UD hiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mdogo ake yupo jalalani mwaka wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah UD hiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama upo UD scan wadada wote wa mwaka wa pili wenye sifa zilizotajwa....ndo atakua huyo huyo...plus msako wako utakua na tija maaana atakua ana Pete ya uchumba ya juzi juzi....
 
Nipe connection ya huyo mdogo wake
 
mdogo ake yupo jalalani mwaka wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah UD hiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UD yupo course gan? Huenda namfahamu huyo muhusika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mno, halafu nilikuwa naenda jumuia nakutana ane, yaani hakuna kusali, amani na salama hakuna, tukigonganisha macho naona sooo, akiwa anatunawisha mikono tunywe chai nadindisha, yaani najisikia guilt na ni kama bado namuhitaji
Sikia man huyu mvizie njian au popote halafu msaundikesha fanya kama unajutia Kwake huku unatafuta huruma halafu penyeza agenda kuwa bado unamwelewa balaa.[emoji1787][emoji16][emoji28]akichomoea fresh hama na mtaa kabisa nenda mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…