Mpaka sasa kuna makundi matatu.....

Kundi la kwanza ni wanaume la waliokula kimasihara...
Kundi la pili ni wanaume walioliwa na wanawake kimasihara
Kundi la tatu ni la mwanaume na mwanamke waliokulana kimasihara....
 
Ni furaha kuona mpaka sasa roho na mwili vipo pamoja... Tuambie kuhusu hiyo unhappy ending
 
We ndo umepata tunda kimasihara japo dadangu joy alikusudia..
Sema tu tujitahid appearance (kuvunja makabati) zinabeba ata ukidanganya unaeleweka tu..
Hata kam huna hena mkwanja wenye mkwanja watakusponse tu..

Sema na we rikiboy upunguze ku3fikiria ujinga ona sas tunapeana confidence umu afu tunazd kuangamia kimasihara[emoji38][emoji38]
 
Kwamba ulimpenda sana uko mwsho sadly akakucheat ukataka kujinyonga ujimalize kibingwa au sio.. [emoji1][emoji1]
 
Ila aka kamsemo nimekaweka kwenye mafaili yangu.you will make a chapter in my novel
 
Kwa faida zingine ungemalizia tu mkuu.
 
Libido product inaenda direct kwenye matako ya mwanamke nakuyafanya yacheze bila kuchezeshwa kama nyama ya buchani [Libido]
 
Duuu. Umenipa mwanga, nilipohamia kuna mdada anapenda kuniita jirani. Hata salamu utasikia *jirani habari, pole na kazi" ngoja nimtafutie mtego.
 
Uzi was deception umetuharibu wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…