KIMASIHARA KWA MTOTO WA TRA
Hawa wadada wanalika vizuri tu,cha muhimu ni CONFIDENCE..narudia,CONFIDENCE ndo kila kitu mazee
Mwaka huu kuna jamaa angu mmoja ni Mwenyekiti wa Vijana CCM Mkoa xxx alinipa mtonyo ambao ili kuupata lazima tuwe na kampuni..basi tukakubaliana 50/50 gharama za kuisajili hiyo kampuni..yeye ana Mtu wake BRELA so michakato yote alikuwa anaifanya yeye..kipindi hicho mm nipo Dar Kikazi
Sasa jioni moja alinipigia simu na kunambia TIN no inahitajika..na mimi sina,nikamwambia kesho ntaenda kushughulikia hilo swala..nikaenda TRA ya vingunguti pale nimevaa simple simple tu(T shirt na kabukta flan hv)
Kufika reception nikatoa maelezo na kupewa fomu ya kujaza..hapa kulikuwa na bro mmoja na mdada...nikamuomba peni huyo bro akanichomolea wkt hakuwa anaifanyia kazi...nikahamia kwa mdada nae akanichomolea kuwa ana kazi nayo(huyu kwel kuna fomu alikuwa anamjazia mtu)
Nikatoka kuzunguka kwenye Panel za watu wengine(mliofika TRA Vingunguti mtaelewa kwa namna ofisi ilivyokaa)...nikaenda kwa mtu wa kwanza holla,wa pili akasema hana sasa yule dada(nadhan alikuwa anaona nnavyohenyeka) akaniita na kunipeleka sehemu kulikuwa na peni zimefungwa na kamba,nikajaza then Nikampelekea ile fomu..akanambia nisubiri sehemu nitaitwa
Sasa wakati tunasubiri UMEME ukakata,ilikuwa sa 2 na dk zake asubuhi,subiria mpka saa 4 Umeme haujarudi,jenereta lao nalo likawa linagoma kuwaka..nikaona huu UPUUUZI...Nikaondoka
Kesho yake asubuh nikafika tena...Safari hii nilikuja na MLANDCRUISER wa jamaa angu flani hvi nilimuazima,sasa nilipoupaki YULE DADA ALIENIHUDUMIA JANA aliniona vizuri tu,maana alipokaa na sehemu nilipopaki ukiwa kwa nje unamuona vizuri tu kwa ndani
Nikaenda mpka kwa panel yake nikamsalimia nikamkumbusha KITUKO CHA KUNISUMBUA KWA KALAMU jana yake,akacheka pale na kuniambia nisubiri...akaenda kwenye section nyngne(Data processing) akaongea na mdada flani hvi kisha akarudi kwenye post yake
Baada ya kama Dk 10 nikaitwa nikapewa TIN no then nikaambiwa nirudi pale kwa yule dada kwa maelekezo zaidi,niliporudi sasa nikavuta kiti nikampa yule dada TIN no akawa kama anaandika kitu kwenye Daftari nikamuuliza"unanukia vizuri sana dada,perfume gani umejipulizia?"akaniangalia kisha akanitajia jina lake,nikamwambia hilo jina SIWEZI KULIKUMBUKA(hii ilikuwa ni trick tu) nikampokonya peni kisha nikaandika no yangu kwenye karatasi(zilikuwa nyng tu pale mezani kwake) kisha nikamwambia"kama usipojali,naomba unitext jina la hiyo perfume kwenye hii no" nikamrudishia peni yake,akawa kama hajafurahishwa flani hivi
Dk chache nikachukua TIN yangu nikaamsha..ikapita siku ya kwanza, ya 2,ya 3 holla..siku ya 4 akanitext jina la hiyo PERFUME...nikamshukuru kisha nikamwambia "Do you mind if i take you 4 dinner tonight?"Akakausha..na mm sikuhangaika kumtafuta
Kesho yake ndo ananitext kwamba yuko free siku hiyo..nikamjibu haina shida anipe time ya kumpitia hapo kazini
Baadae nikampitia,tukapata dina moja safi then nikamuomba akapaone kwangu maana si mbali na pale tulipokuwa tunapata chakula..akasita sita mwanzoni lkzn kidume nikakomaa akaridhia..nikampeleka kwangu na kumla siku hiyo hiyo...niliendelea kujilia mpaka nilipomaliza inshu zangu za kazi na kurudi huku Mkoani
Hata hivyo nilimpotezea baada ya kuona anataka kuniletea mapenzi ya kifilipino!!