Aisee kama naangalia movie vile!

[emoji109]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] noma Sana
 
[emoji2][emoji2] utumishi mwingi. Hahaha
 
Ndio maana watoto wanakuja magonjwa ya ajabu ajabu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tumekuskia mwanamke unayejiheshimu utakuwa mke bora[emoji23][emoji23]
Aminaaa mkuu. Na iwe hivyo... nina roho mbaya hapo tuu[emoji28][emoji28][emoji28] ila mengineyo hela sijui nn kama viko ndani ya uwezo wangu natoa. Ni hapo tu ndo tutakosana...
 
Unajua kuna wanawake wengine wamezoea mapenzi ya kukabana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…