Hii moja imenitokea wiki mbili zilizopita.
Kuna binti mmoja naishi naye jirani jina lake anaitwa OTILIA (OTI) wanamkatisha hivo.
Sasa ilipotoka ile nyimbo ya inayoanza na neno OTIMBI NATIMBELIO,, Mimi nikawa napenda kumuota OTI....akiitikia namalizia NATIMBELIO
Ikaendaaaa Sasa alikuwa anachukia flan hivi.. Lakini kadiri siku zinavokwenda akaanza kuzowea.. ikawa mwisho wa siku ananianza kusema OTIMBI? nami namalizia kusema NATIMBELIOOO
Siku moja nkamwambia 'Siku moja ntakuja kukufundisha kucheza YOPE akasema huniwezi kwa kucheza.. tukawa tunabishana kila tukionana.
Siku hiyo akanigongea mlango kuomba kiberiti Kama ntakuwa nacho, nikamwambia sawa pita uchukue. Nilikuwa naperuzi tu kwenye laptop yangu kimeo flan hivi maana ilikuwa mida ya saa 2 usiku. Akasema hebu tafuta ile nyimbo nikuone unavocheza...
Nkamwambia mbona ipo tu hapa... Akasema ngoja bas nikapike chai nakuja lakini wakati huo amekaa kwenye kiti sebuleni kwangu hapa. Nikachukua laptop nikasogea kwake nikamwambia nyimbo hii hapa AKACHUKUA LAPTOP akaanza ku play.
Ilipoanza kuimba nikamvuta karibu nikamwambia njoo tucheze kwanza Kisha waenda kupika chai, akawa hatak kuamka.... Nilichofanya ni kupeleka mkono kiunoni ili nimuamshe.... Khaaa akawa ananilegezea jicho Mimi
mzee wa kasumba
Nikasema BHOKEEEEY
Ngoja nijaribu Tena sehem nyengine, nikapeleka mkono katikati ya mapaja akatanua kidogo mkono ukapita kwenye kile kisket chake mpaka kwenye chupi. Ohooo akazidi kujilegeza
Nikaona sio kesi... Laptop ikawekwa pembeni na yaliyofuata yakafuata............... Nikatoa uchovu kidogo kwa kuuza mechi kwa goli moja... Baada ya hapo akachukua kiberiti na kisepa.
Asubuhi namuita tena OTIMBI..... akanisunya fyuuuuuuuuu[emoji3]
Yote kwa yote
ASANTE BWANA INNOS B pamoja na bwana DIAMOND kwa kunipatia nyapu.
OTIMBI NATIMBELIOOOO