Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Kama kawa last week nimeenda Dom kikazi. Nikafikia gest flani hivi amazying karibu na ofisini, kawaida huwa sipendi kulala mbali na ninapofanyia kazi sababu huwa sipendi usafiri wa publick na wala huwa sipendi bodaboda. So huwa napenda walking distance.
Basi bwana siku ya kwanza na ya pili nikapitisha peke yangu. Nikawa nampigia hesabu dada wa mapokezi kwa kujenga naye mazoea stori za hapa na pale. Usiku nikiwa naperuz nikakumbuka kuna jamaa yangu aliwahi kunipa namba ya rafiki yake na dem wake anasoma mipango. Nikaitafuta namba nikaipata.
Nikaanza hesabu za kunwingia maana dem hatujuani. Basi nikawrong message kwa kumiita jina nikamwambia njoo hapa niiani nakusubiri.
Naona akajaaa mzima mzima anauliza we nani. Kama kawa nikamlaumu kwa nn kafuta namba yangu. Dem akaniplease hapa na pale kumbe mm namzuga tu.
Tumechat na mi nikamwambia bwanaeeh nina majina 3 kwenye phonebook yanafanana nlijua nachat na fulani rafiki yangu kumbe sio.
Nikamuuliza ww ukowapi akaniambia. Nikamwambia kama hutojali karibu tufahamiane unaweza ukawa mwanzo mzuri wa urafiki. Wala hakuuliza mara mbili akasema nasuka nikitoka nitakushtua.
Nimetoka job jion saa 12 nikamcheki hakurespond hadi saa 2 ananiuliza nilipo, nikamwambia nipo hotelini karibu. Dem akasema sina nauli, nikamuuliza sh ngapi akasema elf4 mi nikatuma elf10. Saa tatu ananipigia anasema amefika. Nikampokea hapo, kumwambia tutoke ss dem akasema yy hatoki usiku nimletee tu msosi na savanah. Nikaenda nikavileta tukanywa hadi saa sita usiku mlemle room baada ya hapo nikajilia vyangu nakumbuka tulikumbuka kulala saa 10:30 alfajiri, akahamia kabisa kwa wiki zote nlizokaa dom