Usikute mnashuka jamaa ake anakuja kumpokea ndo utaelewaWadau.
Nipo safari natoka Mkoa X naenda Mkoa Y. Ndio nimepanda gari nimekaa na kisu hatari. Bahati nzuri tunaenda sehemu moja. Nitaleta mrejesho baadae.
Hapa wakulungwa wote waliopo humu ambao madem zao wako safarin leo lazima waongeze ulinzi,ukiona anapgiwa cm kila saa kuulizwa kafika wap bas jua mwamba ashakusoma huku ss analinda mali zake
Wa kwangu anatoka Dar anakwenda Arusha, simu yake haipatikani.
Nawe kuna sehemu unalegea yaani una mtoto wa miaka kumi na tatu ila mambo yako ni kama ya mtu anayebalehe,hyo dogo naye kakuona ni mbwiga tu yaani anatuma mpaka marafiki zako yaani utasema umeanza jana kutongozanaWakuu naelekea kuwaangusha. Bwanaeeee kuna mtoto mdogo sana enough kuitwa mwanangu wa kuzaa japo mwanangu first born wangu ana 13 yrs now. Huyu chick namzidi miaka kama 22 hivi
Amenikomalia anataka nimpige zeze and she is very serious na anajitahidi sana wenzake wajue ananimiliki.
Ki ukweli mm simfeel kivile. Sio mbaya ni mzuri sana tu ila mnene na mm tofauti kabisa na hawa viumbe wanene.
Namhurumia the way anavojitahidi kunichatisha na amefika hata kunitumia staff wwnzangu waje kunieleza anavonifeel. Amemaliza fem4 mwaka jana.
Jion hii uzalendo umemshinda ikabidi anifungukie kwa sms kuwa anataman nitoke naye whole day tuende mbali na mjini tukakae huko hadi jion. Amesema "I am ready for you"hii kauli haina maswali anataka nikampige zeze. Leo nimemwonea huruma sana sababu mchana tu kamtuma rafiki yangu co staf akilalamika kuwa namringia. Mara kwa mara naona akiweka status zake nikizisoma zinanilenga mm. Inaelekea kuna vijana wanamtaka ila anawakazia ananihitaji mm
Mkuu ulijitahd sana ndo maana wanasema za kuambiwa changanya na za kwakwo,kiufupi hizi story za kimasihara na jinsi wanavyosimulia bila shaka wengi wameukwaa UKIMWINegativity za maskhara zipo namshukuru mungu kuniepusha na baa hili kiukweli nilinywea zaidi baada ya vipimo
[emoji3][emoji3][emoji3]Usikute mnashuka jamaa ake anakuja kumpokea ndo utaelewa
Ilibaki kidogo tu ungeungwa kwenye grid ya taifaDemu: mm huwasitumii kondomu mafuta yake yananiwasha...
Hii statement sio nzuri kwa afya
Ilikua mwaka jana kunamdada alinipigia simu anakuja kunisalimia maana hatukuwa tumeonana km mwaka mmoja hv wala sikuwa na mahusiano nae yoyote zaidi ya kupeana dili za hapa na pale basi nikamwambia karibu, jioni akafika gheto story mbl tatu hasa za maisha na mahusiano yake katikat nikachomekea masikhara akajaa Huku na Huku sina Mpira ikabd nimplease kuwa naenda shop nichukue zana hiyo ya kivita ndo akaanza kusema mm sizipendi km nihivo bora niondoke
Nikapiga hesabu za probability nikaona huyu life style yake inanitia mashaka afu why kondomu inakua zogo?
Nikamjibu tu kiume samahani sana kiukweli na mm kondomu sizipendi ila itanilazimu kuitumia kabla hatujacheck afya so km unaona kondomu nikikwazo mama, nenda mpk siku tutakayo pima wawili na kuchukua majibu pamoja
Akasema nayy kupima anaogopa sana nikamwambia kwahiyo tunafanyaje? Akakubali kondomu itumike sio kupima ( nikaona hapa kuna jambo) basi nikakubali kuitumia with due diligence game ikapigwa vzr kabisa
Kesho yake jioni kaja mapema akasema analala kabisa ( alielewa sana kipindi hasa jinsi nilivyotimia kumkanda mwili wake kwa shanga zake zakiunoni na kuzitumia kuzipitisha ktk kitumbua chake she resisted to be mad but went crazy [emoji16][emoji16])
Mwendo ukawa niuleule kumenye tu ndomu kila tukitaka kupunga maruhani yaliyopagawa
Akaanza zile za niambie sasa lengo lako ninin au unataka tu uweunanikaza kukidhi haja zako? Mm ni innocent sana huwasiwezi kumwambia mtu jambo la kumuumiza of which nilikua nimepanga kumla tu kila mtu aendelee na maisha yake ila kwakujua saikolojia yake alikua na expectation kubwa ya kuanza kuishi namm ukizingatia umri tyr umeanza kumkataa by then she was 32-33 years old
Nikamjibu km gentleman kuwa siwezi kuweka malengo ukiwa hatujui status zetu za kiafya zikoje siku utakayokuwa tyr kupima then ndio nitakupa malengo. Bado akawa mbishi kupima ananiletea pigo za mbn tunaandaana vzr sipati michubuko ngoma inapitia wapi?
Nikagundua wasiwasi wake mkuu nikupima so kondomu zikahalalishwa rasmi hakuwahi kusema anazichukia tena
Akahamia gheto kabisa muda huo ninamahusiano yangu ya muda mrf mchumba nilielipa mahari Yuko mkoa mwingine wanyumbani kila kitu kipo vzr inasubiriwa ndoa tu! Nikaona huyu demu ataniharibia ila kwakuwa kiasili mm nimpole sana sio mchumba wangu wala huyu aliejileta gheto alieshtukia km kunamwenzake nikaplay role vzr kabisa kwahuyu aliehamia gheto kwa kumpa condition kwamba tunayo miez miwl ya yeye kujitathmn kuhusu kupima ikiisha miez miwl hakubaliani kupima automatically tunaachana wala asije kunilauma.
Miezi miwl ikapita hajafikia maamuzi ( kipind chote hicho sijauza mechi) kuna siku nadhn alifanya makusudi stoke ya kondomu iliisha afu akapiga kmy km kawausiku namwambia chukua ndomu huko anasema zimeisha daaaah ilikua sita usiku maduka mtaa tunaoishi yanafugwa saa tatu aisee nikidata lkn kwa sauti ya upole kabisa nikamwambia we won't play tonight, nadhani hakuamn akajua natania amn usiamn tulilala kufika mid night akaniamsha akisema "yaani angalia nilivoloa najikojolea naww uko hapa hapa? Nikamjibu tu short yamebaki masaa machache ifike asbh nitafuata kondomu nitakutimizia hitaji lako nikageuka kumpa mgongo!
Ikawa asbh siku mpya ikaanza kwakuzini kabla ya kwenda kutafuta mkate jioni yake akasema hakuwahi kuona mtu mwenye misimamo mikali km unskilled...
Muda wampito niliompa kuhusu kupima ukafika ijapokuwa ratiba zangu ningumu ila ilipotimia miezi miwili tu nikamchukua kwenda kupima hospital x ya serikali kabisa nikiwa ninaitupa karata yangu ya mwisho jinsi ya kumwacha bila kuumiza hisia zake
Muuguzi akauliza swali nyeti sana km tunatumia Mpira na haipo siku tumesex peku peku jibu likawa ni condum as usual per game
MAJIBU SHE WAS HIV POSITIVE+
AND I WAS HIV NEGATIVE-!
Binafsi sikuwa surprised maana mm afya naichunga sana maana wazaz wangu walipofikia hawana ngoma mm kaka mkubwa nautoa wapi nahisi nitawafedhehesha sana wazazi na sitokua mfn mzr kwa madogo
Kwann nilimkomalia tupime? Kipind tumepotezana alijichanganya machimbo ya madini mkoani iringa na mm kwa uelewa wangu mdogo machimboni ni risk sana hasa kwa mtoto wakike ukizingatia mkoa wenyewe iringa
Alipewa ARVS siku ileile mm nikauluzwa km sijawahi pekupeku nikamjibu sijawahi peku pia nilikua nazingatia matumuzi sahihi ya Mpira so far nitapima tena muda mwingine!
Tukarudi gheto nikamchukua jukumu la kutomnyanyapaa ila nikamsistiza tu kwahali yake afikirie kuimarisha uchumi wake zaidi asinitegemee mm ikitokea sipo atayumba( mwenye akili ataelewa nikichokua nakimaanisha)
Basi swali la malengo nini likaishia hapo baadae ya miezi km miwili akajiongeza kuwa km alipata ugonjwa huo itakua machimbo ngj arudi tena akapambane na life huko kabla hajaenda nikamsistiza asifanye kuusambaza makusudi ikibidi atumie kondomu km tulivotumua kuliko baadae akapata maambukizi mapya akasepa na rundo la ARVS ZAKE huko chunya this time (mliokohuko mjihadhari)
Mipango yangu na mtarajiwa wangu wa nyumbani inaenda vzr panapo majaliwa nafunga ndoa SEPTEMBER ELEVEN of this year nikiwa nimeipata baraka Zote kutoka kwa huyu sweet poison iliyofeli kuniua akisema "ukipata mtu wakuoa we oa mm ngj nikapambane mbele
My take kula kimasihara kungeniponza maana hii ilikua mwaka jana kipindi visa vya kimasihara vimepamba moto jukwaani hapa pia hata mbinu za kumvua chupi niliitumia za hapa with added factors nilizonazo, sahz ningekua nakula DOZI KIMASIHARA
MY NOTE ukimwi upo unaua km magonjwa mengine ila unamateso aisee km hujawahi kunywa vile vidonge nshukuru mungu huyu mdada siku zakwanza alikua anahangaika kumeza mimavidonge makubwa hata mtu aliechumba chapili ukitikisa kopo la dawa anajua unakunywa
NB tusiwanyanyapae waathirika japo nirisk sana kuna muda nawaza kuwa nao wanamioyo yakupenda na matamanio ila kwakuwa jamii inawatenga ukimtongoza anakubali ila ataogopa kumwambia anakirusi mwilini.
upande waakili unaniambia huenda hata huyu demu alikua anajua hali yake ndo maana alikua hataki kupima?
Ila nikiwaza upande mwingine nasema je bila mm kutaka kula tunda KIMASIHARA tungefikia Huku kote?
All in all mshahara wa dhambi ni mauti mungu anijalie kuifikia ndoa yangu na kuiheshimu maana kila anaesimama mbele yangu nahisi nae anao!
Ikitokea nimechepuka of which mm ni mwanaume niliekamilika inatokea lakn nitachukua all preventive measures
TUNDA KIMASIHARA LINGENILA
Wasalaaam
Unskilled is now SKILLED
Kondomu zinanipa muwasho...Demu: mm huwasitumii kondomu mafuta yake yananiwasha...

Hah hah hapo presha inapanda na kushuka[emoji1][emoji1]
Hajaukwaa ila huenda anahofu[emoji16][emoji16][emoji16]Ahaa kwa hyo unataka kusema kwamba yule jamaa tayar kashaukwaa hvyo "hana cha kupoteza"??
Mwafwa bhanyambala
Ukimwi kupata ningumu sana ila ukiufuata pale ukipotulia nakuanza kuugasigasi na ulimi wako nao unareact[emoji3][emoji3]Mkuu ulijitahd sana ndo maana wanasema za kuambiwa changanya na za kwakwo,kiufupi hizi story za kimasihara na jinsi wanavyosimulia bila shaka wengi wameukwaa UKIMWI
Kashaukwaa..hebu nipe namba ya don Dada wa chunya...Nina safar ya huko..Hajaukwaa ila huenda anahofu[emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo LUKU ilizingua[emoji16]Ilibaki kidogo tu ungeungwa kwenye grid ya taifa
Daktari hapo umeongea fact (sijui ilikua kwenye kamati ya vovid)Kondomu zinanipa muwasho...
Kondom zinafanya tumbo linauma
Kondomu zina mafuta.meeengi
Demu akikuambia hayooo...mchomekee..kupima
Akikupiga kalenda.
TEMANA NAYE.
Itakua mtandao mkuu umemchek tena?Wa kwangu anatoka Dar anakwenda Arusha, simu yake haipatikani.
Itakua mtandao mkuu umemchek tena?
[emoji106][emoji38][emoji38]sawa mkuuLikely, nitamcheki mida nayojua amefika.
Tuendelee na masihara kwanza.
Unachekesha na kuhuzunisha Kwa pamojaBadly enough I don't have to prove anything to anyone. I do it when I want too and not under someone's influence
Niambie akoje asije kuwa ndio mwenyewe [emoji3][emoji3]Likely, nitamcheki mida nayojua amefika.
Tuendelee na masihara kwanza.