Miss Pablo nakusihi punguza roho mbaya kuiwekea masharti magumu sana mbunye, hakika wainyima haki ya kusosholaizi na Misonobari. Tumia Laissez Faire itakusaidia[emoji16]
 
Daah
 
Ulimfanyia ukatili, ujambazi,ukiritimba, yan ufisadi wa hatari sasa huyo mwamba.
 
Nimekusoma mkuu.
 
Hili tatizo kumbe ni kubwa kiasi hiki? Shida sijui ni nini? Inahitaji mjadala mpana.
 
Hahahaha Nice V... Jamaaa ulimpa maumivu ya kisengee..hatosahau[emoji23]
 
Wewe nitapeli ⅞ mwizi jangili
 
Huna tofauti na wale wa ile tuma kwenye namba hii.
 
Kwa hiyo ukajiona mjanjaa!

Slogan!
"If you can't help them, atleast do not hurt them"
 
mi pia ilinitokea..nilikataa kumla akawa anajiliza et ooh simpendi mara ooh simwamini na blah blah kibao

alikubali kuliwa na kondomu,baada ya wiki nilisikia ana ujauzito(toka kwa rafiki ake)

na huo ukawa mwisho wetu.
 
Ni haki yako kukataa. But ungemwambia ukweli tu ili asisumbuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…