OTIMBI- HIV
 
akanyambasira,
Daaah we jamaa ni fisi maji ,duuuh syo mchezo


Hata huyu sis yake aliye kwa mume nikitaka kula hata Leo ni kuita tu..Dogo bado nakula mpaka kesho na kila nikimla Lazima anipigie story za sis yake wanavyoniongeleaga wakikutana...kuna Rafiki yake yule niliyesema ni Mtoto wa Rafiki wa mama yake, ameshafanya bidii sana nimle ila napotezeaga tu.
 
We fala uyo oti ni manzi angu
 
We jamaa hujasomea fni iliyo nayo hivi kumnyima majibu unamsaidia au unamwangamiza vipi akiendelea kuambukiza wengine huoni kama utashiriki hiyo zambi? Nadhani hapo kazini kwenu haupo peke yako kwenye cancrlling huwa kuna kumpa mteja referal kwenda kwa councellor mwingine hivyo mimi kwa uelewa wangu finyu kama ulishindwa kumpa majibu ulipaswa kumforward kwa mtumishi mwenzio mwingine
 
huyo demu ni wale makahaba ya mjini yenye level's ...... Mademu wengi malaya, mapepe ni chakula ya wasanii barnaba ndo kazi zake anazoa sana, namjua fika bwana mdogo.

Huyo demu aliamua kukukodia gali ili umuone hadhi zake ni kubwa aanze kukulamba visent na alikupeleka mlimani city kukuona vipi unajua matumizi unatoa hutoi[emoji3][emoji3].

Mwisho wa siku kaona wale wale tu .. pole sana

Nitafutie namba yake pls[emoji3517]
 
Nami ngoja nisimuilie yangu,,ilikiwa miaka ya 2015 Mzee baba natoka zangu Bukoba(nlpokuwa nafanyia kazi) naenda zangu Dar kwa ajili ya maandalizi ya ndoa,nipo na wife mtarajiwa hapo,,ila ye akashuka kwao Dodoma.

Basi tukafka Moro asubuhi mana gari ililala njian katikati ya Dom na Moro,,,basi kuingia stand moro ikapanda totozi moja shape hyo ya balaa, nyuma kafungashia alaf alkuwa white flan hv,,kifua sasa ndo usiseme nyonyo zlikuwa zmechomoza daahh hatareee,,,

me nlkaa sit ya nyuma nyuma kidogo, basi nikawa nmemkàzia macho kuanzia anapotokea mpaka anaenda kukaa,,nlikuwa naombea akae kwa siti yangu mana nlkuwa mwenyewe tuu BT dua zangu zkagonga mwamba,mana abiria weng walikuwa wameshuka akaenda kukaa siti ya peke ake BT n siti ya pemben yangu akatoa ear phone akawa anaskiliza mziki kwa phone yake.

Basi bana safari ikaendelea hapo me mawazo kibao,,sijui nihame niende kaa nayo hii totoz au niite niiweke ubavun kwang,,ila nikawa najionea noma mana kuna wamama nlipanda nao toka safari inaanza na walikuwa na story za hapa na pale na wife na akawa amenitambulisha kwao kama me n mumewe tarajali,,,nao walikuwa siti ya nyuma angu,,,nahisi walihisi kitu mana walikuwa wanantolea macho balaa.

Wanasemaga mungu si Athuman wala Mzee Abdalah,,nikiwa katika Lindi la mawazo huku kausingizi kakianza kunpitia nkahisi bega langu kuguswa huku sauti ya upole ikiniita kaka!,,kaka!,,,kuchek n ile totoz dahh nkahis npo ndoton ama!!,,ikabdi nimgeukie kuuliza kulikon,,ikanambia sorry kaka nmekuona una power bank hapo waweza niazima nibust phone yangu mana imekata moto na nlkuwa nataka Fanya mawasiliano..,,

Nkamwambia hamna Shida mana nlikuwa nmeiweka tuu pemben yangu kwenye siti ambayo haina mtuu,,,nkampa akawa ametulia kwa ile ile siti yake nam kwangu,,,BT pamoja na uzur WA huyu Dada KTU kilichotaka kunishangaza n lafudhi yake yakimakonde yan n chnga pure kabsaa kdogo nianze kumcheka bt nkajikaza kisabun,,mana sikutegemea pisi Kali kama hyo itakuwa na lafudhi ya hovyo hvyo,,nahisi hata yy alihisi mshtuko nlioupata bt akaishia kunichek tuu then akakausha...

Safari ikaendelea kiboya hvyo hvyo mara mbezi hii hapa,,,Mara kimara,,,nikajisemea hapa nkifanya uboya hapa naweza nkachezea fursa hiv hiv,,,nkasema liwalo na liwe ngoja niende kaa kwake tuu,,,nkiwa nawaza hayo nikaona MTU katoa mkoba ake juu ya carrier kauweka kwa siti,,daaahh nkasema hapa mjuba nishafeli BT nkapga moyo konde,,,basi kufka pale mataa dem akanipa power bank yangu na asante kaka,,,nami nkamwambia pouwaa,,ndo twaingia stand hapo...

Ndinga ikafka tukawa tunashuka BT nkampisha atangulie mbele ili niendelee kujionea utukufu WA jehova,,,basi bana tumeshuka pale demu akawa kama anafanya mawasiliano cjui ndo na ndug zake me kipnd hcho napambana kushusha mizigo yangu kwenye buti(nlikuwa nmebeba mazaga meng meng kwa ajili ya home),,,

Kupiga jicho HV nkamuona yule duu bado yupo bze na phone yake,,nkasema huu uboya WA mkoa inabdi niuache nkamsogelea pale alipokuwa amesimama,,nkasimama mbele yake,,,akaona isiwe tabu akawa amekata cm,,naye akanza kunikodolea macho kama vle mtu anayeuliza una lipi?,,,,,

Nikanza kumchokoza pale naona ushafka sio?,,akajibu tu kwa ufupi yah!,,Mzee baba nkasema hapa haina kufel nkamuuliza waelekea wapi?, akanambia me naenda zangu Kigamboni vp kwan?, nikamwambia naomba namba zako kuna jambo nataka tuzungumze(huku nampa cm yangu),,,nikaona bint kapokea akabofya bofya then akajibip.Me hapo kimoyo moyo nkajisemea ashaisha huyu,,

Nkamwacha aende zake huko nyuma sasa hlo shundu mweee,,, na huo ndo ugonjwa Wang,,,yan me mwanamke aliyejazia nyuma hata awe mbaya naweza honga hata kamshahara kangu,,,basi kuona lile kalio me akili ikahama kabsaa ukiongeza na miruz walokuwa wanampigia vjana wa pale ubungo nkasema hii ngoma yafaa kwa matumiz aisee,,,,huyu bint mmakonde alikuwa na kalio bwan,,,alaf mbele alikuwa kawaida tuu chuchu konzi,,katumbo kaflat kama hali vlee daaahh

ITAENDELEA
 
Bado upo kwenye hiyo nyumba au ushahama?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…