Unaonekana bado aidha umri mdogo, experience ndogo au mshamba tu.
Mwanamke wa ajabu ni yupi?
Mke uliyemweka ndani na akatembea na kijana anayeuza urembo au?
Usiwaze nisbajua wa aina yko
 

You so dumb, the industry is so fuckd, they pass each other the same girl like they are balling, mfano hamisa huyo huyo katoa mbwa na majizo, the same girl kampelekea diamond and now my homie anamrukia, kwa kifupi mastar ndio wapuuz kabisaa, kim kardashian, ray jay, regie bush, kanye, drake and may many more why pass the same girl wakati kuna wanawake wengi wengi tu wazuri...
 
Hizi bahati nilikua nazipataga sana kipindi nipo bachelor,
 
Buku 5 as an offer you cant be serious, walimu ni ubahili ama[emoji4]
 
O



Yaani mm mwenyewe niko chunya huku ndio mishe zangu zipo na wiki iliyopita nimewala mademu kama wa tatu tofauti sema nilitumia ndomu na wiki hii na appointment mbili tofauti sijui itakuwaje
nilikaa chunya miaka hiyo dah maisha haya, kiwanja, madebeni, moonlight nk
 
acha tuu,under influence of alcohol any shitt can happen

We cant blame alcohol for shit like this we are dying daily and our only hope is to use protection, tembea nazo kondumu popote ulipo ikibidi weka kwenye wallet kama pesa, we should be prepared at anytime maana wanaume tuna matamanio ya kufanya mapenzi zaidi ya wanawake, sisi wakati wowote tupo vitani sasa bila kuwa na silaha tunakua wazembe sana na ukichanganya na pombe ndiyo basi tena
 
Mkuu ndani ya huyo bidada ukiwa nae kimapenzi hukuwahi kumkiss(denda)?

Nauliza ivo kwasababu unaweza ukawa unavaa condom sawa lakini mlikua hamkiss?
Mkuu Nimeshindwa kukujibi kwa wakat jf app inazingua na web site ya jf nayo siilewagi kabisa mkuu hatukuwahi kukosa hata kwa baharia mbaya nilivoona anaketa wenge kuitumia Mpira alinitisha so sikumwamn tena ijapokuwa napenda denda na yy alikua anahitaji nilimwambia tu mm sipendelei denda akanielewa
 
Chai bora hivi
 
Weye mwalimu na wenzio wa hapo Sadala sec tunakukujieni ni jamhuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duu kwa buku 5 umekula mzigo[emoji28]
 
We ni mpuuzi kuhis wanaliwa kirahis, wa aliwa kirahis na mtu wanaemuona ana thaman, anless ni malaya waliofaamika, i question yur intelligence since kuna mng'ao na reality, mtaan dem anaweza pigwa na watu50 kwa mwaka ila isionekane insue uku staa anaweza akapigwa na watu 3 mwaka huohuo ila ata dem aliogongwa na watu 50 mda huohuo akawa anamuita Muhun.

Ni either, wengiwenu hum hamko smart hamna chaguo mnalotaka ama wengi wenu humu ni wa ajabuajabu ko mnaruka na tonge lolote litalojileta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…