Huko Ig ndo hata hawavungi, ukimuelewa slide Dm story mbili tatu, akikubali kutolewa out, peleka mbali hukoo ichape bakora za kimkakati [emoji3]

IG wengi hawakupi bei ya moja kwa moja sabb kule unaweza kuscreenshot ukamchafua ila Snapchat ni anataja bei moja kwa moja sabb kule message ukiisoma tuu inajifuta au ukitaka kuscreenshot inampelekea taarifa anakublock faster
 
Naona unazunguka zunguka tuu hata huelewi unaandika nini!! Kuna kiumbe kajiumba? Au mwanamke cheap ni yupi??

Wanawake wote wana thamani mradi awe timamu kichwani!! Ubaya au uzuri/ umasikini au utajiri huchezi na thamani ya mtu!!
Ukweli, kwa upande wangu njaa ikiniuma tu, nakula chakula kama kipo tayari kuliwa.
 
Nyie ndio mnasababisha watu wengine washindwe kusaidiwa,heri ungemwambia unachowaza kwako hakitawezekana kuliko ukatili uliomfanyia
 
umeshajenga au bado unashi kwa mama mwenye nyumba
 
aisee[emoji102]
 
Baba hawa mademu maarufu wana madalali alafu madalali wao ni mashoga yan ni noma mzee kuna watu wanahela wanawapa hizo hela kama kuna jamaa alimpiga lina kwa laki nne aisee me kama tunakuwa wapenz sawa ila kununua mbususu kwa hela mingi hapana
Lina huyu huyu kwa 400k! Mbona yupo cheap ivo basi wameshuka bei now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…