,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie umenifurahisha jinsi ulivyo na uwezo wa kuongea English mkuu kuwa Tena kimya kimya
Ila kwakweli hi lugha ya Malikia sijui huwa ina mashetani au nini, watu wengi sana huwa hi kitu inawatesa sana kimoyo moyo unatema ngeli ya hata ila mtu akianza kuongea na mtu face to face unashangaa yai linapotea ghafla, hata mimi huwa ili tatizo huwa linanikwa sometime
 
Shina inakuja kujua mashine mbovu na nzuri kwa kutmia look ya mtu..
"Tangu umri wangu usogee kidogo najikuta naamini kuwa sitakiwi ku share hovyo hovyo "USB" yangu na watu tofauti tofauti zaidi ya yule "Shareholder wangu pekee"

Lakini pia nimegundua ku share USB hovyo hovyo kunaleta virus, demage na mikosi ya ajabu ajabu inayopelekea umasikini"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe wewe mtata sana! Wala hukupigwa BAN [emoji12][emoji12][emoji12]hii angeandika BAK mwezi mzima lupango.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatioz BAK wanakuchunga sana

Nina miaka 9 humu sijala ban hata siku moja[emoji1787][emoji1787]
 
Demu wa dogo janja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] naniliu sio....
 
"Tangu umri wangu usogee kidogo najikuta naamini kuwa sitakiwi ku share hovyo hovyo "USB" yangu na watu tofauti tofauti zaidi ya yule "Shareholder wangu pekee"

Lakini pia nimegundua ku share USB hovyo hovyo kunaleta virus, demage na mikosi ya ajabu ajabu inayopelekea umasikini"
 
5am?????
 
Hivi unaanzaje kunyonya mbususu ya mdada unayekutana nae mara ya kwanza? Tena hujui katoka wapi/katoka kwa nani? Kiwango cha usafi unakipimaje?
 
Miaka ya nyuma humu kulikuwa na nidhamu ya hali ya juu. Yule mhuni Mwigulu Nchemba akaona JF ni tishio kwa maccm. Akakodisha wahuni wenzie mtaani humu wanaitwa Buku 7 na kuwanunulia laptop na kuwaambia waje humu wavuruge mijadala na hata kuwatukana watu matusi ya nguoni. Wengine wakaamua kujiondokea baada ya kuona pamechafuka. Baadhi tukaamua kupambana na buku 7 akirusha tusi hufanyi ajizi, cha kushangaza mods walikuwa hawaangalii ni nani aliyeanza kurusha matusi nakumbuka mmoja alinijibu BAK we mkongwe humu!!!! Sasa kwanini ukongwe wangu humu ndiyo iwe ticket ya kutukanwa nisijibu nikijibu mie ndiye wa kupigwa BAN!? 😳 Sasa buku 7 wakawa ukirudisha mapigo wanakimbilia kwa mods kwenda kushtaki ili upigwe BAN. Nikikuonyesha list yangu kwenye list ya ignore utacheka buku 7 kibao nadhani ni zaidi ya 300. Halafu nadhani kuna mod wa kutoka lumumba πŸ˜‚

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatioz BAK wanakuchunga sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatioz BAK wanakuchunga sana

Nina miaka 9 humu sijala ban hata siku moja[emoji1787][emoji1787]
 
Apple (tunda) pale mwenge tunauziwa 1000/= tu ya kitanzania lakini apple hilo hilo ukienda mlimani city unauziwa bei ya juu
 
Hahahahahah Hilo la mod wa lumumba inawezekana kweli[emoji1787]
 
Reactions: BAK
Ila mkuu nimepitia kayumba. Hii kitu niliitokea kuipenda tokea nikiwa mdogo.yaani wanafunzi wa green view ama lake medium wakiwa kwenye basi nawatamani Sana. So nikawa najisomea na ninakifuatilia Sana. Vile vitabu vya M.s Patel vya Kenya vilinisaidia.
Leo hii naongea mpaka naulizwa kuwa ivi ni mtanzania.
Chuoni nilikuwa nakitumia Kama wembe wa kulia mademu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…