Aisee!!!
 
Wale wazeee pekupeku humu na maskhara yao,hapo watakuwa wametota maji ya baridi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
kwanini Twin??

Wanaume wema bado wapo, ila usiwalaumu wanaume peke yao walaumu na wadada wanaojirahisisha wasiojua thamani zao
Noo twin, On a serious note I was deadly joking angalia hizo emoj ndo utajua![emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Nilitaka waniwakie haahaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Nimeshikwa na baridi ghafla
 
HIV POSITIVE [emoji23]
 
Kuna mbwa mmoja kanichekesha sana leo. Anajoji, kwa nini wazungu wanaweza kuongea kiingereza kutwa nzima hata 24hrs? Sasa na wewe umenikumbusha eti unajua kizungu ukiongea kimya kimya
 

Mungu akubariki sana Mkuu
 
Mada ni kula tunda kimasikhara alafu ww unatuletea mbwela zako za maukimwi huko utafikiri unaujua hata huo ukimwi. Na unajiona mjanja kwamba huwezi upata. Subili mkeo apate mimba atakuletea majibu.

Kifupi tusitishane na mambo ya ukimwi tutembelee mle mle kwenye masikhara ya mbususu kama vp fungua uzi wako wa njinsi ulivoepa ukimwi.😏😏😏
 
haya mambo haya huu uzi huu
 
Chai ya manyani hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…