[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii protocol mkuu ulijifunzia wapi eeh
 
Hii ni kujipatia mbususu kwa njia za udanganyifu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii protocol mkuu ulijifunzia wapi eeh
Hiyo protocol mkuu ni sharia ndogo ya kibaharia katika mahesabu ya kusasambua mbususu kwa kufuata miiko
Ukiangalia kwa makini unakuta unapoteza viwili pesa na nguvu na mwenye mbususu anakupiga mara mbili
Mambo lazima ya balance
 
Pale fundi alikutoa kiaina ili aibe material broo,,shtuka
 

Chai [emoji477]️
 
yaani humu kuna maana halisi ya ngono zembe daah hii si zaidi ya zembe
 
Hii ndio kimasikhara yenyewe!

Hapa ninapoishi kulikuwa na nafasi ya chumba kimoja cha kupanga, jana usiku nilisikia kwamba kuna mtu atahamia ameshalipia kodi na kila kitu, mpangaji huyo mpya amehamia usiku hata sikupata muda wa kumuona

Leo nimeamka alfajiri kama ilivyoada nikawahi kanisani misa, nimetoka mida ya saa nne kufika geto ndio nakutana na huyo mpangaji mpya
Kitu single maza na mtoto wake kama wa miaka minne mitano hivi, Mama amejaa nikamkaribisha na kumuelekeza baadhi ya mambo maana tumekuwa wapangaji wawili sasa
Katika kumuelekeza ndio nikamkaribisha ndani kwangu kimasihara naye akaingia bila pingamizi lolote

Geto lenyewe kitanda ndio sofa, amekaa hapo muda mfupi tu akili ikabadilika kichwa cha chini kikaanza kutoa muongozo, kumwambia sogea karibu mtu naona anasogea
Fasta sana nikamtoa nguo kimasihara na kumyooosha kimoja cha salamu kwanza...baada ya hapo ndio tukaulizana majina na kufamiana kijuujuu tu

Hapa naandika hivi anaosha vyombo na apike msosi wa usiku kimasihara kwelikweli
 
umekimbia sana mkuu 🀣 🀣
 
Subiri utunze familia kimasihara[emoji23][emoji23]
 
Hii ni zaidi ya hatari!
 
Wahamiaji wengine huwa wamekimbia maeneo yao ya asili baada ya kuonekana wakiwa kwenye foleni za kuchukua dawa.

Mkuu uwe unatanguliza vipimo na kondom kwanza.
 
Wahamiaji wengine huwa wamekimbia maeneo yao ya asili baada ya kuonekana wakiwa kwenye foleni za kuchukua dawa.

Mkuu uwe unatanguliza vipimo na kondom kwanza.
Mkuu ni kama unamsagia kunguni lakini umemkumbushia wajibu wa kulinda afya yake ni jambo lake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…