Hii ndio kimasikhara yenyewe!
Hapa ninapoishi kulikuwa na nafasi ya chumba kimoja cha kupanga, jana usiku nilisikia kwamba kuna mtu atahamia ameshalipia kodi na kila kitu, mpangaji huyo mpya amehamia usiku hata sikupata muda wa kumuona
Leo nimeamka alfajiri kama ilivyoada nikawahi kanisani misa, nimetoka mida ya saa nne kufika geto ndio nakutana na huyo mpangaji mpya
Kitu single maza na mtoto wake kama wa miaka minne mitano hivi, Mama amejaa nikamkaribisha na kumuelekeza baadhi ya mambo maana tumekuwa wapangaji wawili sasa
Katika kumuelekeza ndio nikamkaribisha ndani kwangu kimasihara naye akaingia bila pingamizi lolote
Geto lenyewe kitanda ndio sofa, amekaa hapo muda mfupi tu akili ikabadilika kichwa cha chini kikaanza kutoa muongozo, kumwambia sogea karibu mtu naona anasogea
Fasta sana nikamtoa nguo kimasihara na kumyooosha kimoja cha salamu kwanza...baada ya hapo ndio tukaulizana majina na kufamiana kijuujuu tu
Hapa naandika hivi anaosha vyombo na apike msosi wa usiku kimasihara kwelikweli