Fahamu: Ukubwa wa Maumbile ya Uume kwa Wanaume NCHINI TANZANIA.
Utafiti huu ulifanywa na wataaalam mbalimbali wa maswala ya NGONO na mahusiano (SEXOLOGIST) sehem mbali mbali ndani ya TANZANIA .
1. AJMAN et al,
Kutoka nchini NIGERIA mwaka 1985
[emoji117]Utafiti wake ulihusisha Wanaume vijana 320 Kutoka kwenye kila mkoa wa Kanda ya Kati (singida,Dodoma na morogoro) walio kwenye umri wa balehe (Miaka 17 Hadi 23)
[emoji117]Matokeo ya utafiti,
- Wanaume wengi walionekana kuwa na Uume wastani wa sentimeta 9.90, sawa na inchi 3.9
2. BONDIL et al,
Kutoka nchini ufaransa mwaka 1992
[emoji117]Utafiti wake ulihusisha Wanaume 905 wenye umri kuanzia Miaka 17 Hadi 91 Kutoka kila mkoa unaounda Kanda ya ziwa (mwanza,kagera,mara,geita,simiyu)
[emoji117]Matokeo ya utafiti,
-Wanaume wengi walionekana kuwa na Uume wastani wa sentimeta 16.70 , sawa na inchi 6.57
3. Ponchietti et al,
Kutoka nchini ITALY mwaka 2001,
[emoji117]utafiti ulihusisha Wanaume 3300 wenye umri kuanzia Miaka 17-19 Kutoka jijini Dar es salaam
[emoji117]Matokeo ya utafiti,
Wanaume wengi walionekana kuwa na Uume wastani wa sentimeta 12.50 , sawa na inchi 4.92
4. Son et al,
Kutoka nchini Korea Kusini mwaka 2003
[emoji117]Utafiti wake ulihusisha Wanaume watanzania wenye asili ya Asia 123 wenye umri Kati ya Miaka 19-27 kutoka jijini Dar es salaam.
[emoji117]Matokeo ya utafiti,
Wanaume wengi walionekana kuwa na Uume wastani wa sentimeta 9.60, sawa na inchi 3.78
5. ORAKWE et al,
Kutoka nchini NIGERIA mwaka 2006
[emoji117]Utafiti wake ulihusisha Wanaume 115 wenye umri Kati ya Miaka 30-65 kutoka katika kila mkoa unayounda pwani ya bahari ya Hindi nchini tanzania(Tanga,Dar, pwani,Lindi,mtwara).
[emoji117]Matokeo ya utafiti,
Wanaume wengi walionekana kuwa na Uume wastani wa sentimeta 13.40, sawa na inchi 5.27
6. Mehraban et al,
Kutoka nchini IRAN mwaka 2007
[emoji117]Utafiti wake ulihusisha Wanaume 1500 wenye umri kuanzia Miaka 20-40 kutoka Kwenye kila mkoa unaounda nchi ya Tanzania kwa kipindi hicho katika kampeni ya kuhamasisha tohara kwa Wanaume nchini.
[emoji117]Matokeo ya utafiti,
Wanaume wengi walionekana kuwa na Uume wastani wa sentimeta11.58 , sawa na inchi 4.56
NB: Utafiti huu wa Bwana MEHRABAN ndo unaotumika kwa sasa Kwenye vyote vya utafiti dunian kuhusiana na Maumbile ya wanaume wa nchini Tanzania.