Jamaa na teknolojia yote waliyonayo wameshindwa kutafuta suluhu ya vibamia vyao!?
Suluhu ipo,
sema picha siwez kuiweka hapa kwa sababu za kimaadili.

Ingia mtandaoni tafuta kitu kinaitwa SILICONE PENIS SLEEVES kwa wenye vibamia
 
Tambua kuwa,huko kwenye wenye uume mkubwa hata wanawake nao wana maumbile makubwa yaani vina virefu,na kwa wale wenye maumbile madogo na wanawake zao pia wana vina vifupi,hakuna kiumbe alieumbwa kwa kukosea ili amtaabishe mwenzake.....
 
Tambua kuwa,huko kwenye wenye uume mkubwa hata wanawake nao wana maumbile makubwa yaani vina virefu,na kwa wale wenye maumbile madogo na wanawake zao pia wana vina vifupi,hakuna kiumbe alieumbwa kwa kusoea ili amtaabishe mwenzake.....
Kiasi flan Nakubaliana na wewe,[emoji116][emoji2]
 
Kuna uhusiano wowote kati ya wanaume wafupi na vibamia??

Kuna bidada namnukuu "Hakuna mwanaume mrefu akawa na kibamia. Hii ni kwamujibu wa uzoefu wake.
 
Aisee!.
Kumbe Wabongo ni team vibamia!.

Huu utafiti kwa hapa Tanzania wasiwe wanaufanyia Morogoro na Dar tu sikunyingine waje na huku Kigoma au kule Musoma ni wazi Tanzania ingeshika nafasi ya pili.
 
Kuna uhusiano wowote kati ya wanaume wafupi na vibamia??

Kuna bidada namnukuu "Hakuna mwanaume mrefu akawa na kibamia. Hii ni kwamujibu wa uzoefu wake.
Hahahaha wapo warefu kama Msechu ila wana vikorosho
 
Wanawake wa kiAsia wana maumbile ya siri madogo pengine ni kwa ajili ya kuendana na wanaume wao...

Sasa sijui hii imekaaje kwa wanawake kama hao wa Ghana, DRC na Afrika kwa ujumla!!!
Ukimkaza mtoto wa ki Asia kama mchina lazma akugande 😅😅😅
 
Kuna uhusiano wowote kati ya wanaume wafupi na vibamia??

Kuna bidada namnukuu "Hakuna mwanaume mrefu akawa na kibamia. Hii ni kwamujibu wa uzoefu wake.
Jambo lake linaweza liwe kweli au lisiwe kweli.

Kutegemea na mwanamke mwenyewe anamchukulia mwanaume mrefu ni kuanzia futi ngapi height.

Duniani
mwanaume mrefu anachukuliwa ni kuanzia futi 6+

Japokua haiondoi ukweli kua,
mwanamke wa futi 4, akiwa na mwanaume mwenye futi 5 kwake atasema ni mrefu.
 
Kuna uhusiano wowote kati ya wanaume wafupi na vibamia??

Kuna bidada namnukuu "Hakuna mwanaume mrefu akawa na kibamia. Hii ni kwamujibu wa uzoefu wake.
Wanaume wengi kule amerika kusini ni wafupi(urefu chini ya futi 6) ila ndio wanaongoza kwa wingi kiidadi kwa kua na maumbile makubwa duniani.

Mfano: Ecuador wastani wao wa kimo ni futi 5.3, ila wastani wa uume ni inchi 6.9

Cheki hii takwimu[emoji116]
 
Mbona umeongea kwa uchungu sana kiongozi??[emoji23][emoji23]
Kiongozi nmeongea kwa uchungu, haina maana nina kibamia

Noooo, siunajua wanaume wa kanda ya ziwa tulivyo???.


Nmeongea kwa muktadha wa kubadili mitazamo kufuata majadiliano yanayoendelea kwa uzi.


Uke au K, haihitaj uwe na mashine kubwaaa kumkojoza mwanamke.

Kwa sababu kwao, Kila kitu kipo hao juu juu tu
 
Usijali mkuu ni mekutania tu, ila haya mambo hayahitaji makasiriko kikubwa tumia tulichonacho kwa usahihi zaidi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…