mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Inaonekana hukumpiga shoo ya maana ndo maana alikusonya means ameshakudharau. Tafuta kaupenyo ka kumpata urudie mechi aisee ili uweke heshima
Hii inaficha mpaka za what's app
unaenda guest na kigodoro cha binti tena cha bure kipo...aiiseeeNakumbuka kuna kipindi nilipanga uswahilini sana, ile nyumba ilijengwa kama guest house yaani hamna sebule ni vyumba tu vinaangaliana na mwenye nyumba alikuwa akiishi hapo hapo yaani mke,mume na mtoto wao wakike ambae ni kama 20yrs hivi, sasa ile nyumba ilikuwa na vyumba 6 na 5 tunakaa sisi wapangaji nikawa nashangaa hawa watu wanalalaje na huyo binti yao.
Siku moja nimechelewa kurudi geto naingia ndani namuona yule binti anatoa godoro ndani analekea nalo kibarazani,ile nyumba ina ka fence ka kizuchi, nikaingia ndani kwangu nikachukua maji nikeanda kuoga kisha nikaona kama ka huruma kananiingia, basi nikaenda hadi kabarazani alipo lala kisha nikamuambia vipi hapa nje na baridi hii na hawa mbu haupati shida kweli, binti akasema ndo hivyo inabidi azoee tu, nikamuambia kitanda changu kikubwa kama unaweza kuja njoo kwangu tunaweza tunakalala pamoja kisha,mzee baba huyo nikaondoka kama dakika 5 hivi naona mlango wangu unafunguliwa na binti akaingia, basi kwanzia hapo akawa ndo kawaida yake ikifika usiku anatoa godoro kisha anakuja geto nikawa najilia tu.
Kumbe maza ake alishashtukaa muda mrefu huu mchezo, siku moja nishakula mzigo nimelala nasikia watu wanabishana maza anataka kugonga ila mzee kama hataki mwisho mama akagonga, nikaona sasa ndoa ya mkeka ndo hii fasta nikamuingiza mtoto uvunguni kisha nikatoka eti maza anataka kuja kusachi ndani kwangu, ahh mzee nikagoma bahati nzuri wapangaji wengine walikuwa wamelala basi maza akasema anaenda kuita polisi waje wakague nikamwambia sawa, maza kweli katoka ila mzee kwasababu alikuwa hataki hilo swala basi akaingia zake ndani kulala basi mimi fasta nikamtoa mtoto akaenda zake kulala barazani baada ya muda maza karudi mwenyewe naona anajiongelesha mwenyewe tu,kwenda kuchungulia kibalazani kamkuta binti yake akamwambia wewe utanieleza vizuri asubuhi.
Basi ikawa ndo mwisho wa kuja kulala geto ikanibidi niaze kupata gharama tena siku moja moja za kwenda guest tukitaka kupasha kiporo hadi nilipo hama pale ndo ikawa mwisho wetu.
Ilikuwa mwaka 2016 nimemaliiza form 6 nipo home nasubiri majibu pesa mfukoni sina na mchumba kanikimbia kisa siwezi kumtimizia mahitaji yake kapata bwana mwingine anayejua kuhudumia
Wakati huo nipo na stress za kukimbiwa na mchumba Nina kaka yangu home anapenda sana kununua gazeti la risasi basi baada ya kulisoma lile gazeti nikaona page kwa ajili ya kutafuta marafiki yaani unatuma namba yako ya simu, majina kamili, picha na ujumbe mfupi wa maandishi kisha unatuma WhatsApp kwenye namba iliyokua kwenye gazeti kisha mhusika anaitoa kwenye gazeti
Basi kimasihara nami nikajaribu niliweka picha yenye sura yangu tabasamu matata baada ya wiki moja taarifa zangu zilitoka kwenye gazeti basi kuanzia siku hiyo simu yangu ilikua bize mademu wanapiga na kutuma msg wakiomba urafiki
Sikutegemea kama ningetafutwa na kuombwa urafiki kiasi kile ilifika wakati mpaka mashoga tofauti tofauti nao walinitafuta nikawagonge ilifika wakati nikaona kero na kila uchao watu wanazidi kuongezeka wakitaka kuonana na Mimi na mashoga nao hawakua nyuma
Baada kuona kero imezidi nikamchagua binti mmoja huyu alikua serious zaidi na Mimi nilipenda sauti yake lakini sura yake sijawahi kuiona na mitandao ya kijamii hayupo baada ya hapo nikabadili namba maana wale mashoga walikua wanasumbua mno niliogopa nisije nikashindwa kuzuia hisia zangu nikaenda kugonga shoga maana wengine waliniahidi wayanipa pesa.
BINTI ANADAI TUONANE AMECHOKA KUONA SURA YANGU KWENYE GAZETI
Basi baada ya kujichanga nikamwambia binti aje ninapoishi lakini nilikuwa na wasiwasi sana sababu sijui jinsi alivyo nikapanga mpango wa Mimi kuanza kumuona yeye kabla ya yeye kuniona
Baada ya muda yule binti alifika aisee!! Nilishangazwa jinsi alivyo sikuamini alikua demu mzuri na alipendeza sana nilihisi nimeokota embe chini ya mnazi nilimfuata na kumshika mkono aliponiona alitabasamu sana kidume nikamuongoza geto wala hakugoma
Msichana alikua ni mrefu maji ya kunde na anashepu moja matata anapua ndefu alinambia mzazi wake mmoja anaasili ya kitusi kutoka Rwanda Ila elimu hana
Baada ya kupiga stori za hapa na pale nikaomba mchezo mtoto akagoma baada muda nikajifanya nimenuna mtoto akaachia dah! Mtoto alikua msafi na ni mtamu hatari yaani nimekula mzigo bila ya kutongoza
Hadi leo hii bado ninawasiliana nae na nikihitaji mzigo ananipa na yeye akijisikia ananitafuta analikubali sana gegedo langu ila sina malengo naye ananikeraga tunapokua faragha siku hizi amepunguza mautundu nikimpiga viwili hataki tena kuendelea anadai namuumiza na kilio juu sijui anatatizo gani kwenye papuchi yake nimeamua kumkataa kimtindo.
Hii inaficha mpaka za what's app
Hii story huwa sipendi kuiongelea ila kwa vile tupo na fekero ngoja niiweke kukimbiza Uzi.
Kuna demu Mmoja undugu kwa Mbali, wakati nipo A-level yeye ndo amemaliza std seven na hakuendelea na shule akawa yupo tu home. Huyo demu alikuwa mzuri kiasi ila baada ya kuja kujipodoa alikuja kuwa mzuri zaidi. Nikiwa likizo nilikuwa napenda kwenda kufulia mtoni (nilikuwa sipendi kufuliwa Nguo zangu), Sasa njia ya kwenda mtoni inapita kwa akina huyo demu. Kwa hyo akiniona napita kuelekea mtoni Lazima atanifuata nyuma, na atakaa na mimi mtoni mpaka nimalize kufua ndo tunarudi wote. Alikuwaga anaonyesha kila dalili ya kutaka nimgegede ila mimi vilikuwa nadharau najisemea Sasa huyo Mtoto nimpeleke wapi mimi.
Baada ya kumaliza A level nikiwa Chuo na yeye akawa amekuja dar kwa sister yake. Kwa hayo nikiwa likizo mkoa sikubahatika kuonanan Naye na hatukuwai kuwasiliana hata kwa simu. Siku moja nipo Ubungo (nimeshamaliza chuo) nasubiria daladala kwenda getto akaja mtu kwa nyuma akanifunika macho kwa mokono. Hisia ikanipa tu kuwa hii ni mikono ya demu, nimtoa mikono kugeuka nikakuta ni Yule demu ila kawa kisu balaa (maji ya dar Sijui huwa yana nn tu na Watoto wa kike wanaotoka mkoani)
Basi nikapigwa na mshangoa nikamuuliza ni wewe au nimekufananisha, akjibu ni mimi, hapo sauti imeshakuwa ya kidasalam. Yaani hata sikuongea zaidi nikamwambia twende home basi, na yeye hata hakusita akaniambia twende. Basi tukarukia daladala huyo nikampeleka getto nilipokuwa nakaa. Kuingia ndani hakuna aliyemsemesha mwenzake tulianza tu kukiss na kuanza kugegedana, tuligegedana mpka jioni nikwamwambia twende nikusindikize uende home, akaniambia nalala hapa, nikamuuliza sister hana noma akasema nitamwambia nililala kwa Rafiki vyangu.
Usiku tukatoka tukaenda kula na kupiga Vyombo kidogo tukarudi tukagegedana moaka asubuhi maana yule demu nadhani alikuwa anafidia muda wote ambao alikuwa anatakaga nimgegede mimi nikawa napotezea. Asubuhi wakati namsindikiza akaniambia furaha niliyonayo ni Kubwa mno maana nimefanya kitu ambacho vilikuwa natamani Kufanya tangia nikiwa Mdogo sana.
Kwa Sasa kaolewa huko huko mkoani kwetu na ana watoto wawili ila bado tu anatakaga nimle. Juzi kati mother alikuwa anaumwa nikaenda kumsalimka mkoa aliposikia tu kuwa nipo home akaja. Wakati namsindikiza akaniambia jpili twendwe town basi ukaninanii...(tunakaa nje ya mji kidogo) nikwamwambia we ni mke wa mtu halafu siku hzi mimi nna tabia mbaya hautaniweza, Sijui alijua ninaongelea nini, akaniambia chochote utakachotaka nitakupa..duuu...MZEE baba uzalendo ulinishida nikaenda kujilia vyangu na nikapewa chochote nilichokitaka..hahahaaaaaa
Huhuhuu! Mkuu sikuuza sura gazetini ili nipate wachumba nilikua nataka kujifurahisha tu lakini matokeo yake ndo hayo mpaka gays nao hawakua nyumaHii siyo kimasihara umesumbuka mno kumpata had unauza sura gazetin
Hahaa Kaka vipi kunalolote [emoji38][emoji38][emoji38]Manzi gani uyo
Hapana hiko sio kigezo Kaka mbn wapo wake za watu ukimbinya tu anapandisha Ila usiku kucha anashina na mme wake...Demu akiwa na genye kigezo cha kujua ni k inabana???