Tumbafu unatafuta nini huku
 
Watu Kama nyie medulla zenu zimecollapse kabisa. Damn!
 
Unaonaje ukiingizwa kwenye Olympics
 
Hivi watakatifu mnafata nini kwa mashetani...acheni unaafiki baasi kila mtu aishi kwa anavoona yuko sahihi kuna majukwaa mengi jf na nyuzi kibao..si muende huko mkaangalie...
Hii nchi huru, humu watu wazima wanajielewa..!!ukiona hapakufai pita uignore..!!
Acheni wengine tusome tupunguze stress za kutafuta hela...
Siwi mnaafiki huu Uzi naufatilia haswaa...nafurahi tu vituko vya walimwengu!!!
 
Wengi walikuja kama wewe kwenye huu Uzi lakin waliuacha na unazidi kusonga, majukwaa ya dini yapo kaka, emu pita kimya uelekee huko. We kama iman yako ni kubwa zaidi ya punje ya haladari bas utauona ufalme wa Mungu.
 
Usifanye hivo cutie Niwaheri, nitakuandaa vizuri,+[emoji104]. Sitoleta story huku Mkuu. Heshima na hadhi yako vitahifadhiwa na kulindwa kwa wivu mkubwa! Karibu na utarajie kheri!!
Mbona kama unaemuita cutie ni mwanaume?. Nimeona Uzi wake kule JF doctor kuwa kila akimpiga bao mke wake mbegu zake zinanuka sana kwaio anaomba msaada
 
Tupia kisa bidada visa vyenu adim sana
 
Geni tupia yako basi tutoe matongotongo.[emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…