Yaani wewe hapana kwakweli,narudia wewe ni shetani
 
Bado sijaoa. Leo tumeshinda wote na imekua siku nzuri sana. Nimeanza kupata hilo wazo la kumuoa
Yeah itakuwa vizuri kama ikikupendeza tafadhali, kwa sababu inaonekana upendo upo ila ndugu yangu mutashobya miaka mitatu yote bado hujajua kama unaoa ama la?
 
Yeah itakuwa vizuri kama ikikupendeza tafadhali, kwa sababu inaonekana upendo upo ila ndugu yangu mutashobya miaka mitatu yote bado hujajua kama unaoa ama la?
In short ni kuwa hatukua katika relatinship.
Alivyoniambia ana mimba mimi niligoma kukubali kuwa ni yangu mpaka nipate uhakika though yeye alisitiza kuwa ni yangu. Baada ya hapo aliwahi kuniambia kua atamlea peke yake ila nisije hata siku moja kudai ni wangu. Tulianza kuwasiliana tena mwaka jana mwanzoni baada ya dada yake kunipigia na kuongea nami kwa kina na akanitumia picha ndo nikaona ni copy yangu kabisa. Kutokea siku hiyo ya masihara jana ndo tumeonana kwa ya kwanza yeye pamoja mtoto. Ilikua ni video call tu basi. So now ndo nataka nifanye iwe serious, if it work out tutaoana if not kila mtu ataenda njia yake.
 
I wish iwe hivo
 
Mtoa mada umenishangaza unakaaje miezi mitatu bila kuchakata mbususu?mbona hii kitu ni ngumu sana
 
We umekuja kufanya nini huku kwenye huu uzi
 
Kimasihara yataka moto, jana usiku nimeonana na mtoto mmoja Kinondoni, akanipa namba kibishi, sasa usiku huo huo tukakubaliana leo nichakate nikajua anatania.

Kweli leo ananitafuta nikajikausha, dah!
 
Ahahaha alafu sikusoma jina la author kumbe ni LUGUMYA ? yeye na Mikito mikito ni watu hatari kuwah kutokea mikito alitomba mpaka kichaa alafu miandiko yao inafanana sijui ni mtu mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe nahis hivyo, yaan hawa watu ni shidaaaaa khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuishi humo tyuuh dea. Hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…