@financial services njoo hapa ujifunze mbinu za kuliwa kimasikhara maana umekua mgumu saana
 
Kimasihara yataka moto, jana usiku nimeonana na mtoto mmoja Kinondoni, akanipa namba kibishi, sasa usiku huo huo tukakubaliana leo nichakate nikajua anatania.

Kweli leo ananitafuta nikajikausha, dah!
Hahaha kinondoni hao wahuni tuuu. Mzeee.

Usisahau ndomu
 
Nikiwa Bangarole india masomoni. Kama ujuavyo mhindi kumtongoza hadi akuelewe ni shughuli pevu, kwanza ni racist vibaya sana.
Pia nlikuwa mtanzania pekee ila iulikuwa na waafrica kama 7 hivi clas kwetu, wengine ni waarabu na mataifa mengine ya asia, hakuiuwa na mhindi sababu ilikuwa ni ufadhili ya comonwealth.
Ugwadu ulikuwa mkali ilipofikia miezi 7 ya mwanzo sababu ni kuwa
Nlianza kula biriyani ilipofikia mwezi wa 3 sababu chakula cha mataifa mengine ilikuwa gharama sana kwenye hoteli tulofikia ilikuwa kama elf 15 hivi za kibongo nikaona nawezarudi bila zawadi maana tulilipwa kama rupee 30elf kwa mwezi huku room imelipiwa rupee 2800 kwa siku.
Nikapata wazo la kununua malaya. Ila shida nlikuwa mwoga kutoka hasa usiku sikuwahi kuwa nje ya hoteli kabla ya jua kuzama kwa kuhofia usalama wangu. Nlikuwa hoteli inaitwa trinity isle hotel ipo kwenye kamtaa flani hivi kapo bize hatari kwa madaladala. Hivo nikaamua kwenda google nikasearch escort girls in bangarole, ebwanaeeee walikuja kibao nikasort nikapata mrembo kuliko wote kucheki bei ni 3500 hadi 4000 rupees, anakuja unamfanya chochote utakacho usiku kucha. Nikaona isiwe tabu nikamtumia location kwenye saa mbili hivi mtoto akanipigia kuwa keshafika. Nikashuka down nikamchukua na kuzama naye ndani. Basi mi full kujipigia tu usiku wote uzuri next day ilikuwa weekend hivo kesho yake ndo nlitumia kulala. Sio wezi kwama huku pia wastarabu sana na unahudumiwa kifalme. Nikawa nikiwa na ham namwita tu
 
Mtoa mada umenishangaza unakaaje miezi mitatu bila kuchakata mbususu?mbona hii kitu ni ngumu sana
Kwa kweli, three months anachukua short course ya nini?[emoji23][emoji23] Au ile wanaita warsha ya miezi mitatu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina matukio kadhaa ya namba hii, imekuwa ni kama hulka sasa kwangu.

Ni muda kidogo umepita, nikikuwa nina mshkaj flan ivi, mtoto wa kihaya. Mzuri n bonge la shep ila ni mwembamba. Alikuwa anasomea upishi akijiandaa kwenda chuo mwaka1. Kwa matani tu nilimuomba uniletee chakula chake cku nikionje akakubali.

So cku mwenyewe alinitafuta n kunipanga kuwa atakuja kunionjesha chakula chake though hatofika nyumbani coz alikuwa anataka kuwahi kwao. Kichwani nilijua hii ndio cku yangu.

Tulipokutana, alinikabidhi mzigo wangu n kutaka kusepa ila nikamfosi twende home nikampe viombo vyake. Alipokubali ndio ilikuwa mzima. Hakutegemea ila ndio ivyo tena mpishi aliishia kukiwa. Delicious.

Kutokana n experience, hivi Kuna sex inayotoka kwa bahati mbaya au mara nyingi huwa ni mpango ya pande moja?
 
Hiyo sio bahati mbaya mkuu! Tayari wewe ulishapanga siku nyingi na possibly mlifanya maandalizi ya zaidi ya dk kadhaa mpaka akakubali kuchojoa! Hii labda kimaskkhara
 
mkuu kununua malaya haiwezi kuwa masihara
 
Inapendeza sana. a very happy birthday to your son.
 
Eehhh mambo ya masihara hayaa unaweza jikuta unasimulia mke wa Bro wangu hapa .

L kaja ?? Miaka mitatu? Bukoba?? Birthd kesho..


Sema km ni wakiume haina noma.
Umepatia mzee, yawezekana ndo huyo kamla mzee hahaha, polen, kasema "but ni wa kiume" uku hujamtajia ni wa kike, but inaonesha kukana, kama anakana huku hujamwambia so ni wa kike na most probably umepatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…