Oa mke wako acha uboya
 
Buraza

Hiki sio kisasi

Upo addicted na hiyo K
 
NB, Uzi huu sizungumzii hawa wanawake mnaokutana mahali, unamuuliza unamuda?? Anakujibu ,uko vzuri????ukimjibu ndioo, basi anakuambia nitumie Nauli nakuja.

Sizungumzii wanawake ambao, unajua Moja kwa moja ukislide kwa DM yake, anakuambia Hotel ya kumpeleka na utampa shi ngapi...

Yaan hapa Nazungumzia Mwanamke anayeweza kua ndio BOSS wako/Mkufunzi wako/ Mkuu wako n.k lkn Umemuelewa kinoma.

Haya twende sasa,

Ulishawah kwenda Dukan kununua Bidhaa X , Muuzaji akakuambia ni Laki tano...alafu wewe ukamwambia.. Basi poa ngoja niende Duka lingine????. Wakati unatoka, anakuambia, Embu rudi nipe laki tatu sasa ???

Sasa ili Uwe na Mvuto kwa Mwanamke 99% unayemtaka, nilazima, nilazima uwe na AKILI KAMA YA MNUNUAJI nasio kama MUUZAJI.

yaaan zile akili za ....Ninakupenda lkn pia naweza kwenda kwa mwanamke mwengine kama utaninyima fursa.

Huu ni mfano [emoji116]

Jane ni mwanamke wa miaka 28 ana Elimu, Mrembo wa Sura na umbo ambaye amebahatika kua Uchumi yaan ni aina ya wanawake wanaoendesha maisha yao wenyewe, maisha yanayompa jeuri huku Akifanya wanaume wamuogope, Ni kwamba Jane anajiona na kujikubali kua ana Elimu, mzuri ,mvuto na Ana maisha.. Hamna mwanaume

Sasa oneni hapaa

Kuna Vijana wawili mmoja anaitwa John. Mwengine anaitwa Jackson .

John ni kijana Mwenye Elimu, na Pesa ...

Jackson pia nikijana nwenye Elimu na Ana tupesa twake tudogo.

Hawa vijana wawili. Wote kila mmoja kwa wakati wake, anapata fursa ya kuongea na Jane ,kufikisha hisia zake za kimapenzi

Ipo ivi Yeye John alianza ivi..."Jane wewe ni mwanamke mzuri una elimu na maisha mazuri, ninaomba unipe nafasi ,naahidi nitakupatia kila kitu kwa sababu uwezo ninao .

Nipe nafasi Jane, nitakupa kila kitu........

Jane akachomoa.

Jackson yeye alienda ivi... Jane najiuliza kama unaweza kua Poa kiasi cha kuruhusu Nikujue zaidi ?.

Jane anajihisi Bored, lkn baada ya siku mbili tatu, Anawaza ,ni kwann Jackson alisema vile?? Kwann alihoji kama Yuko "Poa" , ?? Je nisababu labda anaonekana anaringa?? anatabia mbaya??? Kwann Jackson aseme hivi

kinachoenda kutokea hapo, niyeye Mwanamke kutafuta kitu gan afanye ili Apate Approval tok kwa Jackson na hapo ndipo Hitaji la kuwin Jackson na kumfanya amuone mwenye tabia njema..huamka na matokeo yake ni Demu anaanza kuvutiwa na Jackson, ndiyooo kuvutiwa nakadir unavyotafuta kumwin mtu ndivo Unajikuta Automatically unamwelewa kinyama.

[emoji115]SASA HIII NDIO HUWA SIRI YA KUMFANYA MWANAMKE AVUTIWE NAWEWE .

Jackson, aliamua kucheza na Natural Flaw ya Jane, Aligundua Jane amekamilika ,sasa ili kumvuruga, nikuhakikisha anamfanya Jane ajihisi kua AMEPUNGUKIWA na ANAHITAJI MTU WA KUMKAMILISHA KATIKA UDHAIFU WAKE.

Wakati John anahofu kama Jane atamkubalia, Jackson yeye anamuonyesha Jane kua yeye yuko tayari kusonga mbele na mwengine

Wakati John anajitahidi kumuaminisha Jane amchague yeye, Jackson yeye anamuonyesha Jane kua yeye ni mwanaume Mwenye status kubwa, anajiheshim na hayupo tayari kuuza thaman yake

Wakati John anajitahidi kumshawishi Jane ,yeye Jackson anamuonyesha Jane kua anayo Machaguzi

Na hii ndiio sababu inayofanya, Jane aanze kupatwa na hitaj la kumfanya Jackson aelewe kua hayuko km anavyoonekana.

Hawa viumbe, anaweza kua ni mzuri kiasi gan, anaweza kua ana elimu kubwaa, anaweza kua ana maisha makubwaaa, anaweza kua vyovyote wakuogopekaa..

ILI MRADI UNAOUWEZO WAKUFIKA MAHALI ALIPO YAAN KUMFIKIA, ... JUST GO AND TREAT HER LIKE A NORMAL PERSON.

ila ukiwa na mawazo ya , mmhhh hii kitu, bila hela huiondoi, sure ,huwezi kumpata hata..
 
ama kwa hakika malegend tumekusoma... eTV walikuwa hatari sana enzi hizo
 
Msemo wa kipare..Luhembe lwethitowa nyika keri
 
daaah nakumbuka sana hii.. tulikuwa mwaka wa 2 ... tulisugua benchi kama mwezi na nusu hivi.... migomo noma
 

nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah hatari sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bro Jela inakuita mtego huo
 
Mkuu Malaya wa nje unaenjoi Sana wanafanya kazi yao kwa upendo mkubwa.yaani unapewa huduma nzuri Sana ili urudi na kesho yake.
Nje kazi kama kazi zingine.
Wale wa Moscow wanajua Kuna watt wakali Sana urusi.
Yaani basi hii dunia yafaa Nini bila ya mbususu jamani.
Yaani panga magari mbeya mpaka Arusha Ila mbususu Ina uzito mkubwa Sana.
Take woman out of man his wealth hauna Mana.
Yaani umenikumbusha mkuu niliyofanyiwaga huko nje na akina Tamala,Sasha,Natasha Olga .
Wazee tutafute hela japo tuwe tuna ends tours Kama wao wanavyokuja huku kuenjoi sijui wanaita sex tours
 
chizi sana wewe jamaa, eti unaliwakilisha taifa 😁 😁 😁 😁 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…