Ilikuwa 2013 tumetoka mishe tukasema acha tupoze koo,naingia baa nikiwa na mshkaji wangu sana,tukaingia kaunta mpka kwa moja,tukaagiza,nikatoka kwenda toilet nikakutana na demu mkali sana,mweupe,ana hips tako kiasi nimemzidi urefu kama nchi 1.

Huyu dada alikua anatoka mkoa wa Ruvuma ila wilaya sijajua,huo mkoa unasifiwa sana kuwa na wanawakae visu sema naskia utulivu ni "0" nimekuja kuwajua baadae sana.

Kusema kweli ile kumuona tu sikujiuliza sana, reception tu ndio ilinipa ujasiri wa kwenda moja kwa moja kuzungumza nae. Nimsalimia akua kakaa mwenyew nikamwambia "hivi unajijua kiwa wewe ni mzuri" akacheeka... akasema sijui. Basi nikamwambia niko na jamaa angu pale heb weka namba yako hapa nakuja saivi.

Nilirud kwa mshkaji wangu nikamwambia nimemwelewa sana yule demu,jamaa akasema fanya mpango,sababu nilikua nimechukua namba sikua na papara. Muda kidogo aliondoka ili kupitia mlango mwingine. Kesho mchana ilikuwa jmosi nikamcheki tukatambulishana akanikumbuka. Nikamuuliza kesho wapi? Akasema yupo yupo tu. Nikamwambia kama atakuwa free aje nina nyingo nataka kumtemea. Asee bila hiyana akakubali,sa mtihani ukaaa kwangu nikaanza kujiuliza yule ni nani(nilihisi sio wa kawaida)? Ana mishe gani? Amewezaje kuitikia wito wangu japo tulionana baa tu? Sikujali.

Jpili ikafika nikamwambia tuonane saa 12 jioni kama muda huo utakuwa na muda. Muda ukafika kanichek nikaenda kumchukua,nikaagiza mazaga za kutosha chops kuku (niliogopa mdudu sababu aliniambia anaitwa Mariam, muislamu)tukala tukanywa stori nyingi ila sijajua tunaachanaje.

Muonekano wake ulinipa was was kama nikiomba game anaweza kuniona muhuni lakini nikajiuliza" hata akiniona muhuni ataniuwa,atanitangazia" nikajiona muoga wa kijinga. Saa 3 usiku ikafika nikamuuliza,nichukue room basi mana bado mazungumzo yetu hayajaisha, akarespond dah anaenda kuchukua chumba huku bia 🍻 zikiwa zimekata kichwani kwa jibu lake. Nikaanza kuwaza hiyo game,nikasema nitaweka alama ili hata ikiwa leo ndio mwisho anitafute yeye.

Asee nilitafuna mzigo mzuri,wenye vigezo vyote anavyotaka mwanaume. Huyu alikua ni mwanamke mzuri kwa kila kitu kwangu kimchezo,kimuonekano kisura n.k.
Sikulala usiku ni kuchapana tu na stori, huyu demu alikua na clit ndefu sana iliyonifanya kila nikukumbuka namwita namchapa nao.

Badi aliwa demu wangu alikua mpiganaji sana kwenye kazi,mana alikua na saluni yake huko kimara,alikua na malengo kibao ya akili. Alinipenda sana,sikuwahi kuinjoy penzi kama hilo popote.


Shida kubwa vana kati yangu na yeye alikua amenizidi umri na alikua na mtoto. Alinizidi kama miaka 7 hivi. Hicho kilikuwa kigumu kwangu kumuoa moja kwa moja ila hakuwa na kasoro nyingine.

Mwaka 2015 nilimwambia nataka kuoa hakuamini nilichomwambia,alipiga simu na kulia sana kulalamika lakini nikatia moyo kuwa tutakua pamoja tu, haikuwezekana. Tukaacha kuwasiliana miezi mi3 ikapita nikapata ujumbe
"Mwenye namba hii amefariki msiba upo kimara" mimi nikapuuza nikijua hhenda ni ujanja tu ili niende kwao. Nimekaa kama mwezi nikapiga ile namba nikaambiwa "samahani namba hii haitumiki tena" kuna jamaa tulikuwa nae kwenye group moja anafanya kazi Tigo nikamuuliza akasena hiyo namba imefungwa sababu mtumiaji aliripotiwa na ndugu zake kuwa amekufa. Asee kidume nilikaa ndani nikalia sana,nilikosa amani karibu mwez mzima.

Mpaka leo sijui kilichomuua. Niliumia sana,kikichonifanya nikumbuke hiki kisa ni kisa cha Lugumya

Wanawake wa Somgea ni wazuri sana
 
Story yako imenikata stim huku mwishoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway fresh lakini umetusagia mende sana wazinzi 😂 😂 😂 😂😂 motherfather
 
Daah...umetutukana kwenye line ya mwisho kwani tuna kosa gani ...??

Ha ha .
 
Duuh[emoji24]
 
Bless up man for sharing with us! She is up there with the angels [emoji3516]...

#Stories kali hivi halafu kuna faken zinataka uzi ufutwe dafuq!!
 
JANA MISHALE YA JIONI NILIKUWA MAENEO WANAPOUZA MATUNDA,NILIPOONA [emoji519] NILITAMANI IJAPOKUWA SIKUWA NA KITU MFUJONI.
BASI MWENYE KUUZA HAYO MA[emoji519] AKADONDOSHA KATIKA KUYAPANGA,NIKAJIFANYA MSAMARIA KUMUOKOTEA,MARA AKASEMA BRO. KULA TU HILO [emoji519] NAMIMI NIKALA TUNDA KIMASIHARA.
 
Kuna kutoa ushuhuda.
 
Aseeee we jamaa umetonesha jeraha langu moyoni kwa stori yako daaah! Halafu ni mkoa huo huo wa Ruvuma - Songea
 
Qumanina ww jamaa[emoji23][emoji23]
 
Woiiiiiiiiiiiiiiiih wapi dea Madame, tuishi humo tyuuh.
Huu uzi mie na babeeh wangu 2naupitia, ila tatizo kila m1 hajui ID ya mwenzie.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uninihujumu bebi
 
Kwa uandishi huu tu wa text huyo mwanamke anaonekana hamnazo..........
 


Tena haijakolea sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…