Kwani wewe ni yesu kristo.....?
 
Ha ha ha ha
 
Tathmini fupi ya wanaume ambao hawajawahi kula kimasihara.
Kwanza tambua unapotaka kula kimasihara hakuna mipango wa myda mrefu,mipango huja muda huo huo unapoona tunda.

Achana na habari za kumuuliza demu eti "una mtu? Umeolewa"? Kwani unataka kufunga nae ndoa? Umeelewa mzigo tekenya ukieleweka kula tunda, ukimchunguza πŸ¦† hutomla. Ni hayo tu
 
We blaalbasketi una art ya kusimulia madhambi yako ukisoma haiboi japo ni za kishenzi
 
Kimasihara yataka moto, jana usiku nimeonana na mtoto mmoja Kinondoni, akanipa namba kibishi, sasa usiku huo huo tukakubaliana leo nichakate nikajua anatania.

Kweli leo ananitafuta nikajikausha, dah!
Na bado unajiita mwanaume[emoji41][emoji848]
 
Vigezo na mashariti vizingatiwe!!!

Hii siyo kimasihala.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umefwata nini huku?
 
Fala Sana wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…