[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tunasubiri na hiyo nyingine lakin huu uandishi ni ile desisgn ya INTERGRITY yan.
 
mkuu u too funy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. saafii
 
Kwakuwa umeamua kuwa marafiki tu huko lG leta connection maana mpira pasi
 
Nimepotea sana humu.
Jana tena Kimasikhara.
Kama kawaida nikiwa ofisini alikuja dada tayari tulishafahamiana maana jana ilikuwa mara ya pili kuja kupata huduma. Yeye hapendi kwenda kwa subordinates wangu kwakuwa huamini atapata huduma vizuri kwangu na ndivyo ilivyo. Yeye anafanya ofisi fulani kwahiyo nilikuwa na mfahamu na hata yeye but hatujawahi kuongea lolote kabla ya yeye kuja ofisini kwangu kupata huduma. So kuja kwakwe mara ya pili ikawa rahisi kwangu.
Basi nifupishe story.
Jana baada ya kumhudumia nikamwambia tunaweza kuonana baada ya kazi. Akasema ndio tuonane saa ngapi. Mie nikamwambia anytime akasema hata saa 6 usiku? Nikamwambia hamna shida. Akasema basi saa 2 usiku mie nikamwambia kulingana na ratiba yangu tufanye saa 3 baasi akasema poa.
Saa 3 kasoro naona sms vip tunakutana wapi nikamwambia sehem fulani ambapo ni hotel. Kufika pale baada ya story na chakula nikachukua room nikamwambia twende zetu akajifanya anashangaa eti mbona hatujaongea lolote. Nikamwambia twende tutaongea room. Tulivyoingia tu room nikaanza na denda fanya mautundu yote demu akabaki analia tu. Vaa silaa (huwa siachi ninapokuwa na miadi) piga sana machine mpaka saa saba usiku nikamrudisha kwakwe nami nikaenda kwangu. Hapa na type nawaza kwanini nimeiachia.

NARUDIA kusema tena HUDUMA BORA kwa mteja wa kike ni SILAHA hatari sana.
 
Inawezekana Kuna mwanamke aliliwa kimasihara ndipo ukazaliwa Son of Gamba

Kama tunaelezea zinaa kwanini usiende kwenye majukwaa ya
1. Siasa
2.Habari mchanganyiko
3.Great thinker

Shame on you
 
Hahahahah naunga mkono hoja
 
Bora wewe umesema labda watakusikiliza.

JLW tumelimisi
 
Mzee
Huku motoni umefuata nini?

Watu wakikupelekea moto usilaumu.
 
Wazee wa Arch plaza!
Ulete na story ya Hostel za High cost! [emoji23]
 
Duuh mwisho unaweza jikuta motoni na watu wa masihara
Kula raha mbinguni ni kwa wachache sana na wewe haupo huo ndo ukweli ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…