Oya Yesu alivyoshuka kuzima si angemuhubiri shetani aokoke au wewe waonaje
 
Na wakti huohuo, LAZIMA IKIFIKA HIYO SAA TATU AKUTAFUTE MWENYEWE
kwa sababu umeshamfanya kua mtumwa wako kihisia, sasa anawaza, akichezea huo muda, ndo hatokupata tena
Na ndio alinitafuta mwenyewe. Halafu nilijisahau kabisa kwakuwa nilikuwa busy sana hasa na simu kutokana na aina ya kazi yangu.
 
Simulia mwisho ndo uhubiri hakika wataokoka
 
Kwa hiyo inabidi wasinene matendo yao ili wawe salama?
 
Hivi JLW limesharudi? Wapi connection [emoji4][emoji4]
 
Reactions: BAK
au
kuna tundu la mtandao pendwa hukuingiza, ndiyo maana alikua anasisitiza "nifanye nitakavyo"
 
Tunduru....

Nakayaya town pale napajua sana. Nipo contact yake dp nikamsalimiee[emoji41]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uninihujumu bebi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leta kisa chako cha masikhara na wee, au hujawahi kufanya ki joke joke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…