Hii ndio akili. Wewe kweli mwanaume.
 
Haleluya!!!
 
Ukiwa unaziba "nyufa" kwenye nyumba, Je, hutaingia chumba hadi chumba ili uone "nyufa" zote na kuziziba?

Jamii Forums ina vyumba vingi na mimi nikiwa kama "fundi" wa kuziba nyufa basi nitaingia chumba hata chumba mpaka nizibe nyufa zote.
Kule porn hub kuna vyumba vingi vya kuziba, ushaenda na huko?
 
Ndugu kanisa lako liko wapi kwa hapa tanzania
 
Aisee, lakini unachepuka vipi na mwanamke Ambaye mnaishi mtaa mmoja!? Ama Kweli za mwizi 40.
 
Anataka kuondoa dhana kwamba umemla kirahisi. Nikama amejishtukia, huyo utaendelea kupiga ila anafanya drama ili usiomwone mrahisi.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Alafu kuna ng',ombe utaisikia inasema olewa uepuke stress na magonjwa
(Bonge la mtusi)
Huoni kama Mke kapata Heshima na Stara hapo! au kama ni wewe ungependa kuwa kwenye hiyo Nafasi ya Mchepuko!
..... ..... ..... ..... ..... ..... ..... .... ...... ......
I Love You My Wife M
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah chief mlitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…