Yote ymunayosema sema yanajulikana ila njia iluyochukuliwa na wa masihara nao wanaifahamu so acha kupoteza muda mwanzo mwisho huku hutoki na mtu unajua wewe ndo wa kwanza kuhuburi ila sema twaweza jiban dunia na huko kuzuri tusiingie ila kama waweza endelea kuhuburi utapata kondoo ndugu twende kule kuzuri
 
Ni story yenye mbwembwe ila haikua kimasihara
 
Demu wa kilokole ndiyo nani?

Kwenye maandiko hakuna mtu anaitwa "mlokole". Na hakuna mahali kwenye Biblia utapata neno "mlokole".

By the way mimi sitafuti demu, mimi nakuhubiria wewe uache zinaa.
We ni mkuuu nduu-gu kabisa.
 

Mwanakharaaamu una dhambi sana wewe @SMART GHOST
 
Hapo kwa Prof wa jalalani hahahahahhaha.
 
KIJUKUU CHA SHAYTWAN MAAANINER[emoji16]
 
Likishakuwa gazeti zima huwa sisomagi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila we fala[emoji1787][emoji1787],,,,, kwanza kula like ya uandishi plus mbwembwe. Eti (dinda at your own risk)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
F@ck you too mkuu ...nimekubali sana
 
Mkuu kuokoa muda ukaona umshike sehemu za kimkakati [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo dawa yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…