[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti walilala njaa anadai ana homa kali kumbe kapelekewa moto wa maana!!!
 
Achaga uongo wako na wee, shoga gani akufate inbox?
Na usijifanye km huwajui au hujawahi, ukute hata kudate nao hao mashoga tayar, ila hapa unajifanya kupinga, maisha bila unafiki hayaendi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe unataka kuja pm?
 
Sikupiga kweli mkuu.
 
mwwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah usishangae

Mimi Ni mwanangu mmoja huwa tunaitana majina ya ajabu ajabu Kama mbwa ,mzinzi,fala,nyani,mshenzi.

Halafu tukikutana tunapeana tano gwala barida kabisa [emoji1787][emoji1]

Sasa muitane hivyo wanawake mtasutana na vigoma[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa uliandika kumfurahisha nani?? Upeo wa akili yako unaonekana wazi ujielewi, endelea kupambana na mashoga kijana, mtu anaongea au kuhadithia kile anachovutiwa nacho zaidi, kama ulikua uvutiwi wala usingeruhusu mawazo na akili yako kuandika habr hizo..pathetic
 
Samahani mkuu kama nimekukwaza.
 
πŸ˜› πŸ˜€.... pole mzee baba, na hongera kwa kunusurika
 
Natumahi ata hii unafurahisha genge .wana nyie fuateni nyuki kwan ndo kweny asali uko
 
Hapo Doha unakula burger?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…