Huyo mwanaizaya aliyekula nguruwe najiuliza ujasiri wa kupiga kitoweo chini alitoa wapi na ana nguvu kiasi gani huyo bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji114][emoji114][emoji114]
Hii ni roho ngumu sana mtu huyu anaweza kunya hekaluni
Sidhani kama ni kwenye huu uzi..alikula kitimoto ni kwenye ule uzi wa ''Mazingira gani hatari ulihawahi kufanya mapenzi''
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jaman khaaaaah
 
Muambie ukweli huyooh, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti walilala njaa anadai ana homa kali kumbe kapelekewa moto wa maana!!!
Hahahaaaaa, Kuna matukio mengine unakutananayo na ushakutana na mazingira ya hivyo unahisi pengine wangu nae alikutwa na jambo hadi akaja na utetezi ule
 
Dah hama malaika yalimuita huyo Bro wako aje kuokoa jahazi kabla halijazama maana kama ninavyokuona hukuwa na ndomz hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umeona eeeh... na inawezekana amefunga na vumbi la Congo kabisa πŸ˜€ πŸ˜› πŸ˜… πŸ˜€ πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜… πŸ˜… πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…