Mla vya watu na vyake huliwa in mm mm karma is a bitch
 
Story ilivyokaa tu kichai chai[emoji23][emoji23][emoji23]...sasa we mmepotezana na mtu miaka mingi tokea udogoni afu ukubwani aanze kukuita mume wangu[emoji23][emoji23]..
Sababu ni hii tu ......? Ila kumbuka nimekuambia sio udogoni ni secondary ....kama ulibahatika kuwa na mpenzi secondary jaribu mtafute uone
 
ndo tumefikia huku?
 
Dah bahati haiji mara mbili ila mzee jitahidi maumivu hayako automatically utapona lkn usirudie
 
In short mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 tokea nimetoka kwenye womb ya mama sijawai kusex mpk imefika mwaka huu nimejikuta nakula mtoto wa mtu kimasihara na kutokea kumpenda kweli kweli tena kwa dhati, mbaya yeye ndo kanitenda japo nimeshamla mara nne hivi ila nahisi kanifundisha uzinzi maake nasikia roho inatamani kulipiza wakati mwingine najisikia nataka demu mwingine ni-do nae huu ujinga ila najikuta namuhofia Mungu aisee namuogopa sana Mwenyezi Mungu, natafta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli wala asiwe na vijitabia kama hawa wa kuliwa kimasihara In Sha Allah Mola anisaidia nahisi nakwenda kuangamia[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Nimeingia JF hivi karibuni ili kuwa napata ushauri hivyo mm bd ni mgeni na nimeingia tu kujifariji, Aiseee no way nimeachwa nimeshakubali japo kishingo upande coz demu nilikuwa nimeshatokea kumpenda kweli dah aisee[emoji20][emoji20][emoji20]
 
Leo hujaenda shule? Kasome kwanza uje utafute pesa ndio ufanye mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…