Safi sana,akikuzingua shuka chini hapo jirani.Kuna bar inaitwa msinga bar,utawakuta wale wa huduma zetu wapo wengi tu ili wakusindikizie usiku wako hapo guest house!!
Asiache kwenda rode atapata kuku wa kienyeji wa kutosha mkuu au kwa nyokaa.
 
Vipi nayeye ana kipara na midamu? Au yeye mahips yamejaa kitanda kizima ?
 
Bravo
 
Mwaka 2016
Natoka Ifakara kuchukua mzigo wa ndizi trip ambayo haikwenda vizuri toka hatua za awali, nkajikuta nimesafirisha nusu ya mzigo na gari ya mizigo afu nusu nikasafirinayo toka mbingu mpaka ifakara town then nkabahatika kupata kipisi ( tenki ya mafuta) ambapo kufika mida ya saa 4 usiku tumevuka Moro, sikumbuki kituo walichopaki kwaajili ya kulala lkn nakumbuka kulikuwa na gari nyingi kubwa za mizigo zimepaki nikawaaga wadau (suka na tingo) kuwa naenda kuchaji simu na kupoza koo, kweli nkaingia bar hapo kaunta namkuta mtu na dadake nkawapa hi, bila story nyingi nikaomba charger ya pini ndogo na kuagizia kirikuu mbili kisha nkachukua meza ya ndani mwisho kwenye kigiza flani nikitafakari hasara niliyoingiza baada ya muda nastuka mteja nipo mwenyewe nataka kuagiza ya tatu nikawauliza kama wanatumia damtu kajibu yy mdau lkn dogo si mdau basi nkampatia offer, hapo inaelekea saa 8 usiku, dogo mtu akaaga anaenda kuangalia watoto nakutoka, akaongezeka mteja mmoja, pia nikaongeza na kumpiga offer nyingine wakati analeta sikumbuki aliongea nini nkatabasamu ndio ikiwa kosa akatoka kaunta na kuhamia meza yangu, pisi ilikua inaongea kichizi mm hata sielewi anachosema sema natabasamu kumsuport ghafla (kama wanavyo sema wadau) sheitwani kitengo cha ngono za dharura akaninong'oneza akisema kusoma hujui hata picha inakushinda hahahaha nikacheka kimoyo nikasema huyu keshaliwa nikaisogeza kiti cha karibu pasipo kuongeza neno nikathubutu kufanya utalii wa nje pasipo kipingamizi chochote raundi hii nkamuagiza aongeze kama tulivyo, akarudi kukakaa nikaendelea na ziara za nje na kuhamia ndani kushuka mpaka ngorngoro kreta pisi inaitika tu damn nikaivuta na kuinywa mate sasa hapo nawaza natoa wapi kinga kufupisha stori ni kuwa tulifanya yote pasipo kujali mteja aliyepo anaona, mwamba akajiongeza akasepa hapo nahisi papuchi na Abdala kichwawazi wali pair Bluetooth maana hatukuzungumza zaidi ya yeye kunyanyuka kurudishia mlango kisha ile kiroho mbaya nkamshikisha ukuta pandisha dera juu booom[emoji91] ni tako zilizo jumuisha hasira ya maisha piga sana (ofcoz sikutumia socks ) katikati ya game nikaingiwa na imani nikachomoa futa kwa dera nakusepa pasipo kuongea chochote, Sishangai kupata ile hasara maana hata mzigo haukurejesha pesa bali ulinikataa

Ishu ya kutembelea rim ilinitesa saana, nikaanza kuwaza juu ya VVU na homa ya ini wakati huo naogopa kupima pia hakuna mdau hata mmoja niliyemshirikisha, nikaamua kuanza mazoezi na baada ya miezi mitatu ntapima namshukuru Mungu nilitoka salama

NB: tunakutana na mengi katika haya maisha hivyo ni vema kutafakari vema kabla hatujafanya maamuzi.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana,akikuzingua shuka chini hapo jirani.Kuna bar inaitwa msinga bar,utawakuta wale wa huduma zetu wapo wengi tu ili wakusindikizie usiku wako hapo guest house!!
Ndo nimeingia moro jioni hii wakuu. Ila nimenusurika ajali mbaya sana maanailikuwa nigongane uso kwa uso na rav 4 mjinga mmoja hivi anaovateki kindezindezi, huku noah moja nlikuwa napiga naye ligi tokea dom jamaa wa rav 4 akaingia pori noa naye alipoona ataniingia kwa nyuma naye akaingia pori wakakutana nje ya barabara japo hawakugongana. Mm nlipata upenyo kama tundu la sindano nikakipenyeza kibebi walker changu. Sikusimama nimewaacha hapo wanazozana. Ila noah akanikuta mbele na kunisifia kuwa sikubabaika tungekufa wote maana tulikuwa speed za 140km
 
Pole sana jombaa,ila Mungu mkubwa.Swali la kichokozi.Ulipokuwa unachakata pale Singida ulitumia zana kweli na hakuwa mke wa mtu?
 
Hiki chako nacho kipaji aisee. Hongera sana.😂😂
 
Pole Sana ndugu Marlon Elias
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…